Shilole 'Nimekoma na Ningejua Hata Nisingejichubua'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MWANAMUZIKI wa miondoko ya mduara ambaye pia ni msanii wa filamu, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefunguka kuwa kwa alichokiona, amekoma kutumia mkorogo.
Akipiga stori na Ijumaa, Shilole alisema mwanzo alikuwa akitumia mkorogo aina ya ‘karolaiti’ lakini amegundua badala ya kumfanya awe mzuri zaidi, umemletea matatizo kwenye mwili wake.

Niseme tu kwamba nimekoma na ningejua nisingefanya jaribio la kujichubua, nimeathrika sana na sijaona faida yoyote, zaidi umeniharibia ngozi yangu,” alisema Shilole na kuongeza:
“Imefika wakati natamani niirudishe ile ngozi yangu ya asili lakini siwezi, sasa hivi nikiumia kidonda kinachukua muda mrefu kupona sababu ya huu mkorogo, warembo wanaojipenda ni bora wakaachana na mambo hayo.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. BORA UMESEMA KWELI MWENYE MASIKIO NA ASIKIE!!!

    ReplyDelete
  2. ndo ukome mtu mwenyewe cheupe unachichubua ina huuuu

    ReplyDelete
  3. WE MDADA KWANZA WEWE NI MWEUPE HALAFU UNAJICHUBUA UNATAMANI KUA MWEKUNDU AU ALBINO?

    ReplyDelete

Top Post Ad