Vimini Vyamzuia Dida Kufanya kazi Ikulu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MTANGAZAJI wa Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani kinachorushwa kupitia Radio Times, Hadija Shaibu ‘ Dida’ amefunguka kuwa kamwe hawezi kufanya kazi Ikulu kutokana na vimini anavyovitinga . 

Akizungumza na Amani, Dida, alisema kuwa anafurahia sana kazi anayofanya kwa sababu inamruhusu kuvaa nguo yoyote anayojisikia vikiwemo vimini . “Kufanya kazi Ikulu ningeshindwa kwani kuvaa nguo ni kwa sheria , huwezi kujivalia tu , kazi yangu nipo huru naweza kuvaa kitu chochote kile nikajisikia nina amani , lakini Ikulu lazima utinge koti na kuchomekea , ” alisema Dida.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. HUYO DIDA NAYE NI SHIIIIDAH, NGUO GANI HIYO MPAKA CHUPI INAONEKANA NI NYEUPE, SIO FRESH

    ReplyDelete
  2. Huyo nae ni shidaa tu mjini hapa hana mvuto na thamani yake imeshuka so anajaribu kuvaa hata vimini ila watu wageuke kumwangalia ila wapi...pole bora ujiheshimu ili uheshimike..utazidi kudharaulika ikulu utafanya kazi gani nini kwa mf elimu huna akili huna nidham zero

    ReplyDelete
  3. huyo nae anauza papuchii hapa mjini watu wameshamchoka kizee kila cku kujifanya mtoto mbuta nanga,mvuto zirooo

    ReplyDelete
  4. nguo yenyewe fupiiii,na shepu kama nn cjui

    ReplyDelete

Top Post Ad