Wadada Nguo Fupi Sio Deal, Ona Mwenzenu Alivyoaibishwa Azomewa na Kuchomwa Madole Hadharani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Wadada Nguo Fupi Sio Deal, Ona Mwenzenu Alivyoaibishwa Azomewa na Kuchomwa Madole Hadharani, Dada Mmoja alijikuta katika hali ngumu baada ya kuvaa kinguo kifupi kinachoonyesha sehemu zote za mapaja na kupita mtaani, ambapo watu walijitokeza na kuanza kumshambulia kwa maneno wengine wakimpiga picha na kumchoma madole mpaka wasamaria wema walipojitokeza na kumpa khanga na kujisitiri...

Follow us:
Instagram:@udakuspecially
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Pumbavu na habari zenu za uongo. Ushaidi uko wapi. Acheni kutufanya sisi wajinga.

    ReplyDelete
  2. Alafu hii sio bongo jamani its either south africa or botswana ni uongoo!! watu nyuma ya huyu binti sio wabongo!!

    ReplyDelete
  3. wataje eneo husika basi,ni wapi hapo ambapo kuna mkusanyiko wa watu wengi hivyo halafu waandishi wa habari ITV,TBC na hata STAR TV hawakuweza kunasa tukio hilo!????

    ReplyDelete
  4. sioni tatizo hapa....waafrika wengine ni washamba....mbona sehemu ninayoishi hili vazi ni kama la kawaida...

    ReplyDelete

Top Post Ad