Wanamgambo wa Islamic State Wametoa Video Nyingine inayomuonyesha Mwandishi wa Wingereza Waliomteka

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wanamgambo wa islamic state wametoa video nyingine inayomuonyesha mwandishi wa uingereza John Cantlie aliyekuwa ametekwa nyara.

Cantlie akiongea katika video hiyo ya dakika sita amesema alikuwa ametelekezwa na serikali yake na kwamba nchi za Magharibi zilikuwa zimepuuza uwezo wa wanamgambo wa IS.
Cantlie alitekwa huko syria mwaka 2012 ,na video yake inafanana na ile iliyotolewa wiki chache zilizopita ambapo alisema alikuwa ni mmoja wa wafungwa katika kundi.
IS tayari imeua mateka watatu wa nchi za magharibi na wamenuia kuua waingereza wanaofanya kazi ya kutoa misaada wanaowashikilia mateka.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kata vichwa makafiri, lugha wanayoilewa ni kukata vichwa na bunduki

    ReplyDelete
  2. usihukumu usije ukahukumiwa maana hukumu muhukumuyo ndiyo na ninyi mtakayohukumiwa.

    ReplyDelete
  3. Kuwa makini na lugha zako kijana, watu wametulia tuu, haina maana hawawezi ugomvi, hata mapanga watu wanaweza kutumia bila wasiwasi, basi tu wanaheshimu dini na haki za binadamu, wakichoka tuu,,hahahaha, patakuwa hapakaliki, so tuwe makini na lugha zetu za kuleta Uchochezi, zisijekuingia na Nchini kwetu Tanzania.Tuombe MUNGU sana, maana hata baki mtu.

    ReplyDelete
  4. uyo c mburula aelewi anachongea tena inabd atubu.

    ReplyDelete

Top Post Ad