google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Wanawake Wanataka Ndoa Lakini Hawapati, Ni Kweli Hamna Waoaji? | UDAKU SPECIAL

Wanawake Wanataka Ndoa Lakini Hawapati, Ni Kweli Hamna Waoaji?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kuna kitu kinanichanganya ni kweli hamna waoaji siku hizi au wanawake wanachagua sana?

Sasa hivi hili limekuwa kama janga la Taifa.
Single ladies wengi sana unakuta mwanamke mpaka miaka 33 hana hata mchumba wa kusingizia.

Na ni wengi mitaani tunawaona na wengi wao wakiona umri unazidi basi wanaamua kuzaa na kuwa single mums.

Nyie mnaonaje ni tabia hazikidhi mwanamke kuolewa?

Au ni gharama za harusi?

Wanaume please please muoe watoto wasio na baba wanazidi kuongezeka.

Na hamuwatendei haki wanawake.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Lazima tuchague mambo yakuolewa tu kuridhisha watu hayafai.nawanaume wamezidi mtu unaona waii achanizae katoto kangu.naukishazaa upendo wote kwa mtoto miboro unasahau au huonitena umuhimu especially kama ukizaa nalijitu likakukera ndiokabisaa,wafwatao wote kazi kuwaamini

    ReplyDelete
  2. Ndio wanaume SI ndio hao hao nao siku hizi wanafanya ya kike? Utaolewa na mwanamke mwenzio

    ReplyDelete
  3. SIO GARAMA BALI NI UPEO WA WANAWAKE WALIOKUWA NAO SASA ZAMANI MWANAMKE WALIKUWA WAVUMILIVU LAKINI SIKU HIZI HAKUNA UVUMILIVUU HUO NDIO MAANA WANAWAKE KWA WANAUME HAWATAKI NDOA BALI WAISHI TUU WAKICHOKANA KILA MTU ANACHUKUA CHAKE

    ReplyDelete
  4. Mi sijapata wa kuoa kwani kila ninayemfuatilia nakuta anatembea na mume wa mtu...Hawataki wanaume single eti hawajui kutunza.....Nayo ni akili pia hongereni

    ReplyDelete

Top Post Ad