Wasira Aamua Kufungu 'Urais si Mama Mkwe wa Kuonea Haya Wakati Ukifika Nitasema Tu'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Steven Wasira amesema hana sababu ya kuona haya kutangaza kuutaka urais kwa kuwa urais si ukwe ila anasubiri wakati mwafaka.

Wasira alitoa kauli hiyo hivi karibuni alipokuwa akizungumza katika mahojiano maalumu na gazeti hili mjini Dodoma.

“Watakaposema ruksa, nitasema na wala kugombea urais si suala la kuonea haya. Ni kutoa huduma kwa Watanzania. Unalionea haya la nini? Kwani kugombea urais ni ukwe?” alihoji Wasira na kuendelea;

“Urais ni mama mkwe wako, hapana. Wakati ukifika nitasema tu. Na mradi kuna wananchi wanasemasema na wananitia moyo, ukifika wakati nitasema.”
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hapo ndio katabasamu akinuna inakuwa vipi?

    ReplyDelete
  2. tutakimbiaaaaa!!! akkinunaaaa!!!! dahhh

    ReplyDelete
  3. Nyie watuuuu,endeleeni kucheza Na Mungu.Alijiumba?

    ReplyDelete
  4. jaman muogopen mungu ameumbwa km mlivyo umbwa nyie na mwenyez mungu.

    ReplyDelete
  5. Hivi huyu jamaa alivyokuwa mdogo alipigwa na RADI???

    ReplyDelete
  6. Ni shiiiiidaaaaaaaaa!!!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad