Alama za Ufaulu wa Show ya Fiesta 2014 Kwa Wanamuziki Walioimba

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mdau mmoja wa Muziki Aliyekuwepo kwenye Show ya Fiesta Jumamosi Usiku Ametoa Tasmini yake kwa Wanamuziki Walioimba Siku hiyo na kuwapa Maksi kama ifuatavyo:

Ali Kiba 97%
Mwana Fa 94%
Weusi 91%
Mr blue & B.O.B 83%
Stamina 71%
Diamond Platnumz 65%
Ommy Diampoz 62%
madee &Tip Top 58%
Young Killer 50%
Yamoto band 47%
Chege &Temba 42%
Ney wa Mitego 30%

International 
T.I 88%
Davido 70%
Victoria Kimani 50%
Waje 43%

HAWA AKINA
Recho 
Barnaba
Shaa
Linah
Makomandoo
Vanesa Mdee
Next time msiwalete wanatuibia hela zetu tu bado hawajakizi viwango.
Ruhusu kufanya masahihisho kwa alama anazoona zina makosa.

By Mzanzibar Halisi
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

19 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kazi mnayo,fyuuuuuuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  2. samahani ila mi naona mr. blue na b.o.b ndio waliokimbiza ni maoni yangu tu....

    ReplyDelete
  3. Ali Kiba amefanya kitu gani??ukweli upo pale pale Diamond yupo juu tu na atakuwa juu siku zote.

    ReplyDelete
  4. Diamond kuma tu hamuwezi ally kiba hata kidogo najua mtakuwa wanafki kwa kumsifia diamond lakini ukweli ni ule ule kiba is number one is the king of pop in tanzania trust mE

    ReplyDelete
    Replies
    1. sawa kiba is king of pop tanzania n east africa or sorry na africa pia pig up kwa yeye!! sasa matusi ya nini na tunaona dogo! si lazima utukane kufikisha ujumbe wako dogo haya king na akalie kiti wakati dangote akifanya yake akikusanya matunzo ya kimataifa ataleta king ajionee msiache kumpa big up akileta tunzo wakati kingi akiendelea kukalia kiti jameni; wacha kingi akalie kiti

      Delete
    2. DIAMOND KUMA TU........ ushawah kuona wap star anajiita jina la mtu mwingine.... DANGOTE atamfira ndugu yenu... tena saiv kaanza kupiga shoo na leggings DUH OBAMA KWEL KARUHUS

      Delete
  5. kama kwa shangwee mwana FA alifunika kwa wasanii wa nyumbani na sio kiba acha urongo na tena kiba shangwe lilikua pale mbele tu basi bora useme walo rap wote walifanya poa ila as u said according 2 u kila mtu ana mtazamo wake ila kivyangu mimi wacha mwana f a dai alifanya poa ila ucku ulikuwa mwingi nao watu washaanza kuzima

    ReplyDelete
  6. KIBA = NDALA
    DIAMOND = KIATU

    #ndukiiiiiiiii

    ReplyDelete
  7. Mashabiki wanamchanganya tu Kiba akubali tu kwa sasa D zamu yake sasa Kiba utapandishwa na kazi zako siyo mayowe ya mashabiki!

    ReplyDelete
    Replies
    1. anony 3:32pm umenena, kiba akibweteka na mayowe ya kupanga ya mashabiki imekula kwake. na halafu hakuna mashindano hapa kinachotakiwa ni kujitahidi muziki wa tz uzidi kung'ara sio kushushana ndo maana hatuendelei. mwenzako kafanikwa basi jifunze ama iga toka kwake ili na wewe utoke siyo kupambana naye kwa kila njia kumrudisha chini.

      wa tz kumpiga chura teke ni kumuongezea mwendo na wala si kumkomoa kamwe. daimond huu ni muda wake hivyo nia mbaya za baadhi ya watu kwake hazitampunguzia chochote kwani kupata na kukosa ni mipango yake Mungu.

      Delete
    2. very true tupu

      Delete
  8. huo ni ujnga kujarbu kumshusha mtu ambae kiukwel anatangaza nchi yetu vzur.. waxanii wengi frm abroad waliexpect kuona diamond anakubalika kihome,xaxa kama mnamuonea wvu kwa kutomshanglia how can he be supportd by other people frm abroad!?..thnk abt Tanzania internationally,don thnk abt indvidual artist domestcally!..

    ReplyDelete
  9. Hzo team znapotosha wasanii sana.bongo hakuna king uyo kiba hajafkia huko tho anajua kuimba lkn kwa levo za kimataifa chibu yupo juu .nabii hakubaliki kwao .lap youuuuuuuuuuuu daily

    ReplyDelete
  10. Chibu Dangote always juu forever achana maneno ya watu fanya kaziiiiiiiiiiii. Lap yuuuuuuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  11. Diamond forever mimi kubali wewe sana ! Ukweli wanaujua wewe songa mbele uwe na msimamo Diamond maneno ya wapambee wadogo yasikuchoshee so far unajulikana kimataifa , simchukii ally kiba ila ukweli ni kwamba diamond yupo mile far away big up ma boy !

    ReplyDelete
  12. the fact that the fans of diamond are trying so hard to undermine kiba makes me so happy coz i c one thing in t THEY'RE WORRIED he is loosing

    ReplyDelete
  13. wapumbavu ninyi akiwemo adimin yani unalazimisha kumshusha daimond kwa lazima unachekesha kengee wewee na mashabiki wote wa kiba kiba bado sana yeye akaimbee huko maisha club diamond kwa sasa hafanyi shoo za kikumaa chuni ya 10m hao kina kiba wafanye mpaka za laki 5 pumbavuu yani kiba utajuuta yani unalolitaka litakugharimu achana na chibuu atakuaibishhaa majuz tuu fiester alikuaibisha hakwenda dodoma lkn nyimbo zake zilipigwa akafunika kama yupo vile unajua watanzania wengi roho mbaya hampo tayar kukubaliana na ukweli mmezoea vya dezo acha mfilwe na wazungu ndo amaana mnachukuliwa vyenu vinaenda nje kwa ajiri ninyi wenyewe hamjikubari ulishaona usher raymind anamsema chris brown kua hamfikii si ujinga wa tanzania tuu au ulishaona nerry anamtukana lily wyne upumbavu wa watanzania mtafika lini mbali dogo wa watu anajituma kautangaza mziki wetu huko nje kila konner mpaka kaufikisha trace sasa mnaanza kumzomea jukwaani ambapo tuu kesho yake aliangusha shoo kenya akalipwa mipesaa mpakaaa....mkitaka kujua uwepo wa diamond hata kwenye party za watu wanamtumia ujue anaumhimu wapo tyr kumlipa pesa yoyote akawatumbuizie sasa kiba aliwahi hata kualikwa birthday ya mtu akatumbuizee labda magomeni kwa hawala zake na birthday za malaya kama kina lulu kiba jipange kijana unapoteaa na mashabiki zako watakupoteza mana ukitaka kuzomewa kila mkoa unao[ita utazomewa dai ana pesa anaweza kuweka kampeni kila unapokanyaga omba msamaha mana hata jina lako lilikua limeanza kufutikasasa unapaa kwa ajir magazeti yanatumia jina la diamond ili na wewe ufufuke.dogo dai anajua kutumia jukwaa sasa wewe jukwaani unakalia kushika mapumbu unafikir watu wanataka pumbu zako hizo watu wanataka kazi jitumee

    ReplyDelete
    Replies
    1. mhhhhhhhhhhhhhh!
      tired!
      gazeeti i cant read
      summarise plssssssssssssss

      Delete
  14. Kina recho, barnaba na linah wanabebwa tu coz show inaandaliwa nyumbani bt hamna kitu... Ila wanamuziki wa hipmm hop walifunika, inaonyesha kwamba hip hop stejin ipo juu zaid ya mziki mwngne... Blu alifunika zaidi ingawa hakupania sana kama fa, alikua kawaida tu.... Ila alkua ana confdence hakuuna mfano... Weusi wanafuatia chemistry yao ni noma... Ilivopigwa hakuna kulal ilopnyeha bdo kuna umuhim na uhtaji wa nature .. Hakuna kama nature...

    ReplyDelete

Top Post Ad