Baada ya Kuachana na Edzen, Dida Azifuta Ndoto za Kuolewa Tena

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Stori: Imelda Mtema
NDOA basi! Mtangazaji wa Kituo cha Redio cha Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida’ amezima ndoto za kuishi maisha ya mke na mume kwa kudai kuwa, amebaini kujiingiza kwenye ulimwengu huo ni kujipa ‘stress’ za kujitakia.

Akizungumza na Ijumaa Wikienda juzi, Dida alisema baada ya kuachana na aliyekuwa mume wake, Edzen Jumanne, amebaini wanaume wote lao ni moja hivyo kama atakubali kuingia kwenye ndoa na mwanaume mwingine, itakuwa ni yaleyale.

“Yani sasa hivi hata aje mwanaume na gia gani siwezi kukubali kuolewa tena, kwa kifupi sina ndoto za kuitwa mke wa mtu tena, bora nibaki peke yangu nifanye mambo yangu,” alisema Dida.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ww utaolewa tu lbd ufunge kutogozwa hapo sawa

    ReplyDelete
  2. Umejiona kuolewa kwako itakuwa ngum ndo maana umejitanagzia mapema... kwendraaaaa

    ReplyDelete
  3. Utatobwaaaaa tu Nani akuoe wewe?!!

    ReplyDelete
  4. Hata usiposema hutaki kuolewa tena hata wa kukuoa tena hakuna, Malaya wee umetia aibu tu na tabia zako ambazo zinapelekewa na ushamba wako ambao hukukaa darasani mkamsikia mwalim ukiwaza micharuko tu ndio imekufikisha hapo

    ReplyDelete
  5. Hata mimi nawashangaa hao wanaume wanafuata nini hapo kwani Dida hajui mapenzi halafu ovyo kabisa kama si perfume anazojipulizia ingekuwa mtihani!
    Mimi nilishakuwa naye kimapenzi wakati naishi kwa bibi Salama karibu na kwa mamake Dida hivyo namjua vilivyo!

    ReplyDelete
  6. we olewa tena kama umempata wa kukukuna miezi miwili tu si utaachika tena jamini na we dah

    ReplyDelete
  7. Kuachika umeachika yaani ndoa kwishney, big brother hujaenda.....umekosa vyote mwana na maji ya moto....we'jirushe tu ndo'ilobaki sasa, huna jipya wala!!

    ReplyDelete
  8. utaolewa na nani dida, yani kwanza ushukuru hivyo vipesa bila sivyo kwanza sura mbaya ,shepu mbaya, mfupi kwa kifupi huna mvuto.unajitia msichana kumbe bibi,ulivyoachwa umekonda unasingizia mazoezi fala wewe.

    ReplyDelete

Top Post Ad