Big Brother Africa: Washiriki wa Kenya, Uganda, na Nigeria watolewa Mchezoni, Mtanzania Aponea Chupuchupu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mtanzania Laveda Jumapili October 19 aliponea chupuchupu kwa kubaki kwenye jumba la Big Brother Africa, huku akiwashuhudia washiriki wenzake watatu wa kike wakitoka mchezoni.

Esther (Uganda) , Lilian (Nigeria) pamoja na Sabina (Kenya) ndio washiriki walioondolewa katika shindano hilo usiku wa jana ikiwa ni ‘eviction’ ya pili toka shindano lianze.

Hadi sasa washiriki watano wa kike wametoka katika shindano hilo na kufanya idadi ya washiriki wa jinsia ya kike kubaki 8 huku wanaume wakiwa 13.

Nchi za Zambia, Mozambique, Kenya, Uganda and Nigeria kila moja imeshapoteza muwakilishi mmoja hivyo zote zimebaki na muwakilishi mmoja mmoja tu mjengoni.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sasa itakuwaje mademu wamewahi kutoka na mijamaa bado inahamu haswa!Watashea au ndio!

    ReplyDelete
  2. Daveda hakustahili kabisa kwenda kutuwakilisha, mambo haya kuchaguana kiujamaa mbona tuna watu wengi wanastahili zaidi.

    ReplyDelete

Top Post Ad