Boko Haram Noma Sana Yakiuka Makubaliano na Kuteka Wanawake Wengine

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Taarifa iliyoripotiwa na shirika la utangazaji Uingereza BBC imesema kikundi cha wapiganaji cha Boko Haram kimefanya mashambulizi katika kijiji cha Adamawa kilichopo Kaskazini Magharibi ya Nigeria na kuteka wanawake na wasichana katika kijiji hicho.
Utekaji wa wasichana na wanawake hao unatokea ndani ya siku sita tangu serikali ya Nigeria na kikundi hicho walipofanya makubaliano ambapo Boko Haram waliahidi kuwaachilia huru zaidi ya wasichana 200 wanaoshikiliwa na kikundi hicho.
Japo Boko Haram wamekiuka makubaliano waliyoafikiana Ijumaa iliyopita, bado serikali ya Nigeria ina matumaini ya kuachiliwa huru kwa wasichana hao baada ya kikao kinachotarajiwa kufanyika muda wowote kuanzia sasa huko Chad.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ulimwengu ushaujua ukweli kuhusu hawa watu, wanapewa trainings na mashirika ya kijasusi ya nchi za magharibi ili kuivuruga dunia tu kwa maslahi ya shetani, Boko Haram ni CIA mission against islamic, tuamke waafrika, tusiuane kwa tofauti ya dini zetu, dini zinahamasisha upendo na wala sio chuki, hao hao wanaofadhili makundi ya Jihad kuivuruga dunia ndiyo hao hao wanaompinga Christ (Anti Christs). Nyinyi wakristo na waislamu mlio afrika amkeni, acheni kuchukiana na kuuana kwa tofauti ya dini zenu.

    ReplyDelete
  2. Na hayo mataifa ya magharibi, sidhani kama wa dini tena, kwa kuwa hawataki hata, kutamka mswala ya kumuomba mwenyezi mungu, kheli hulu kwetu Africa,

    ReplyDelete

Top Post Ad