Dida na Edzen Wakutana Coco Beach Laivu, Wachuniana kama Hawajuani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Stori: Mayasa Mariwata na Shani Ramadhani
WATANGAZAJI wawili waliokuwa wanandoa kabla ya kutengana hivi karibuni, Khadija Shaibu ‘Dida’ na Ezden Jumanne, mwishoni mwa wiki walikaushiana kama watu wasiofahamiana baada ya kukutana katika hafla iliyofanyika katika ufukwe wa Coco jijini Dar es Salaam.

Wawili hao walikutana wakati wa uzinduzi wa video ya wimbo wa Namchukua wa Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ambapo mwanaume alikuwa mshereheshaji huku mke akiwa miongoni mwa wageni waalikwa.


Hata hivyo, Dida alionekana kuwa na mbwembwe zaidi huku akipiga ulabu na kuonekana kukolea kiasi cha kujiachia na kukata mauno mbele ya halaiki ya watu pasipo kujali uwepo wa mumewe huyo wa zamani, ambaye alikuwa mpole na aliondoka eneo hilo mara tu baada ya kumalizika kwa shughuli iliyompeleka.
GPL
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwakweli Ezden alipotea maboya kulioa hilo KURUMBEMBE dida, na ndio maana alipogundua kwamba sio mwanamke wa kweli, akamchapa talaka 3 akaendeleze ulabu wake na kukata mauno hovyo kama chizi..........na uso wake mzito kama uji wa mchele!!!

    ReplyDelete
  2. UJI WA KARANGA SIO WAMCHELE,ETI TIMU DIDA WATU MAMBURULA BALAAA, HUYO SI MWANAMKE KWANZA HATAAKIPAKA PODA HAIKAIJAMANI ILA JICHO ANALO KIDOGO

    ReplyDelete
  3. Mwanaume alikuwa mpole anatumia busara na akili hna muda na ujing na maisha ya kishenzi, ana busara zake, (pesonalty)

    ReplyDelete
  4. Kama Dida angetulia, alipata mwanaume ambaye kila mwanamke anatamani kuwa naye, lakini wapiiii.........LAKUVUNDA HALINA UBANI.

    ReplyDelete
  5. KIUKWELI DIDA ALIPATA MUME LAKINI HUYO EDZEN HAKUPATA MKE

    ReplyDelete
  6. Hilo kuku LA kienyeji halifungwi dida alikupa Nina LA hadija alikosea Sana ungeitwa chausiku babauo

    ReplyDelete

Top Post Ad