Eti The King is Back ! Kwani Alikuwa Ameenda Wapi na Kutuwakilisha Katika Jukwaa Gani Tangu Amekuwa King?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kuna watu mnakera kwakweli..na nimeanza kuamini hizi team team hizi zinaua mziki..hivi unaambiwa eti king iz back cjui izi rudi..wat ???????alikua ameenda wapi??huyu king mziki wetu kaupeleka wapi?? huyu king katuwakilisha kwenye jukwaa gani kubwa tangu amekua king???simchukii mtu ila na nyie mnao jiita mastar vumbi nyie ndo wachonganishi kuliko hata hizo Team..star na wewe unaandika caption imekaa kimafumbo tuuu ili iweje?mie ni fans wa chibu na kiba...ila wat i see ni kwamba watu wana take advantage ya kiba kurud kwenye game ili kumshusha diamond na ni kitu ambacho akiwezekani..whether u believe o not..chibu atabaki kuwa chibu na tukubali tukatae dogo mziki wetu kautangaza ila hata kama mnamchukia kwa roho zenu mbaya kiba ataki kuwa star ki kwenu kwenu wakati diamond atakua star wa Tz yote..hizo vumbi na mikwala ni kawaida tu..by the way wote wamefanya show nzuri..sasa hizo king king iz back iz wat ndo nini??king ninae mjua ni majuto tu..wengine wasanii..tuufikishe mziki mbali ila sio kwa majumgu..Tanzania bila majungu inawezekana.....
KWAN UYO AL K ALIKUA KASAFIRI MPAKA ARUDI ALIENDA WAPI ? LEO NINA HASIRA LEO JICHANGANYE UONE !!!!!
By Malkia wa Insta
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

33 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hizi nguvu wanazozitumia zitaharibu mziki kweli, hivi kuzomea iyo juzi wametoa picha gani mbele ya wageni ukweli usemwe diamond kapaisha mziki bana c mchezo leo hii kiba akiitwa nje ata nae anaweza paisha bei yake kwenye shoo anaweza itisha ukumbi wa hadhi yao alau kwa sababu chibu amefungua milango y lie jamani, miaka ile ya shoo kwenye sitting room si sahii lol wakati watu wanaendelea kudiss kwenye mitandao jana tu ameenda kupiga shoo jirani apo kenya kwa 1.5 za kenya hela yetu kitu kama million 30 nyie mmekalia jungu hamna mnachoingiza mwenzenu keshatambulika yule unapozungumzia diamond its big deal as diamond enyewe!!! shauri yenu

    ReplyDelete
    Replies
    1. diamond anapoenda ulaya kupiga sho anaenda kuwaburudisha watanzania/wakenya/waganda(watu ktk east africa) wanaoishi ulaya,ujerumani au marekani na huwa anakodi vijiukumbi vidogo vidogo vya kawaida unadhani anaenda kuwaimbia wazungu? hamna mzungu anayemjua diamond bro angalia picha za show zake wote wabongo hamna mzungu ata mmoja

      Delete
    2. wee vip mbona unadandia tren kwa mbele nani alisema anaenda pigia wazungu kwani ata uyo davido anapigiaga wazungu!!!! ila maboresho ni makubwa ndio wats am tokin abt fan now sio east africa tu dai ana fan mpaka west africa uko nnje na ngoja yatoke ayo macolabo ndio mtakoma lengo sio east africa fan baba ni africa nzima kisha kuleee/ ila dogo wazungu wanakuwepo usiseme ata mmoja kuna wabongo wameoa wazungu na wanapenda african culture n all that wanakuwepo acha ubishi gonga u tube ukibisha ntakuweke link apa !

      Delete
  2. WATANZANIA SISI WANAFIKI SANA MMESAHAU ?? YAANI ANAYEFANYA VIZURI NDIYO ANASHUSHWA ILI KILA SIKU AWE CHINI , NAJUTRAAAA KUZALIWA NCHI HII MIMI

    DIAMOND ULIPANDISHWA NA MUNGU KWA JUHUDI ZAKO BINAFSI , MTEGEMEE MUNGU WAKO NA FANYA KAZI KWA BIDII BASSIIIII WAKATI HUO HUO UKIWA UMEZIBA MASIKIO YAKO , I LOVE YOU

    ReplyDelete
  3. mwisho wa siku ata ile show ya juzi mjiulize team king nani aliondoka na hela nyingi mana fo sure hela ya diamond kupanda jukwaani c sawa na ya kiba ndio mana mwaka huu serengeti hawakumueza diamond walimtumia shoo mbili tu mwanza na dar habari ndio iyo! ila fan wanataka mziki hatutaki majunguuu

    ReplyDelete
    Replies
    1. fala ww kumbe ata ufuatilii unalopoka tu,diamond hakuweza kupafomu baazi ya show coz alikuwa na show zake binafsi usiwe unalopoka fuatilia

      Delete
    2. get ur fact kama serengeti wangempa dili alikua hana haja ya kwenda nje mana dili zengine za nje zilipandiana tu hakuwa full booked before wee nae umetokea wapi aarrgghh jipange kabla kubishana na wanaojua shenzy type!!

      Delete
  4. tangu alikiba auimbe ule wimbo wa dushelele nilomdharau kimziki...badla aangalie mtindo ambao unakubaliwa kimataifa akafanya mchezo,,sijui kukutana na rkelly ilikuwa ndio kilele cha mziki wake ama vipi!

    ReplyDelete
  5. hivi huyo kiba alipata chance nzuri sana kuliko daimond alifanya nini alikutana mpaka na wakina r kelly lakini atujaona kipya ! ona dom kakuta na davido tena muafrica mwenziye na si wa ulaya ona alivyotangaza muziki kimataifa ile mbaya anatikisa vibaya. kiukweli kiba alichezea nafasi

    ReplyDelete
  6. diamond show moja anakula mpunga minimum Millioni 10 non negotiable! kiba kama anapata Millioni 1 ni bahati! alafu watu hao wanalinganishwa...for what???? hebu tuchukulie muziki ni biashara sio maneno matupu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. diamond sawa,una uhakika kiba analipwa chini ya milion moja leta uthibitisho ukishinwda we shoga

      Delete
    2. Pesa si kitu sometime bt quality ya mtu... Kina ti na kanue sasa hivo wanapiga pesa mbaya lakin hawawez kua na status ya kna nas,krs onw na rakim... ule uking si wa pesa... ni uking wa kupewa verse ya kwanza na r.kelly, ni uking wa vocal

      Delete
  7. King alikuwa analea watoto miaka mitatu kakuta wenzie wanachanja mbuga anatafuta huruma za mashabiiki redio na tv zote kamaliza.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hapo umenena watakalia maneno tu

      Delete
  8. Nyie vp? Mbona wabinafsi sana? Mnataka kila siku awe dai tuu yeye kawa nani? Kwa hiyo watu wasionyeshe upendo kwa wampendae kisa dai? Kwani tz inamsanii mmoja tuu? Maana mlitakiwa muone aibu nyie coz hata hao wageni watawaona wa ajabu coz kila wakija wanamkuta dai kwani anaimba nini cha ajabu cha kuwazidi wenzake? Au misifa tuu ya kujidai anapesa na anaishi sinza mori... Kama anapesa mbona hicho kijumba cha salasala kinamshinda kumaliza kazi show off tuu, tatizo watz mnapenda sana maisha ya sinema mkiectiwa ndio mnafurahi, ukweli ni kwamba dai anataka awe yeye tuu hataki kusikia mwenzie anafanikiwa na uchawi wake kutwa kuzunguka na yule mganga wake wamagomeni mxiuuu.....tz tunawasanii wengu bora kushinda hata hiyo takataka ila anawaziba wenzie hata wasionekane karma is bitch mwanga mkubwa wewe

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwa hiyo mnataka Kiba arudi lazima kwanza mumshushe Dai si tunataka afanye kazi aache na nyie mashabiki zake muache kumpaisha kupitia Dai.

      Delete
    2. kwanini mutumie nguvu kushusha mtu ndio nyie mpande kwani ngazi ni moja tu nyie vipi hamuoni nchi za nje wasanii kibao wapo juu hakuna beef za kijinga la msingi c lazima watu wote wampende dai ndio mana kuna fan wa rihanna, beyonce, r kelly, kanye n all that u name it, sasa kwa nguvu hizi mlokuja nazo ni kuja kuuwa mziki na si kupandisha mwenzenu amefungua milango nyie mnataka kufunga milango will never support kiba if he behind this shit, halafu kuna watu mnahate bila sababu ya msingi as for u unaonekana asa mtoto uswazi usiyekomboka na elimu u still amini uchawi take pipo 2 another level na si jitihada na mungu bure kabisa mwanaume wa kibarazani weeh mawazo mgando

      Delete
  9. king mkundu.kuma la mama yake i hate the all shit

    ReplyDelete
  10. anonymous 3:39 unachekesha. Hivi wewe ukitia bidii kibiashara ukiwashinda wenzako utafunga biashara yako utoe nafasi kwa wenzako wafike level yako?

    Naona haiwezekani. kuna msemo wa kizungu unasema let the sleeping dog lie. hivyo huyo king alienda mapumzikoni diamond akapata mwanya wakufika alipo sasa...saa king endelea kulala tuuu haina haja ya kujistress na mziki...atakula huo ukingi

    ReplyDelete
    Replies
    1. mpe mkundu diamond akufire coz unamtetea km bwanaako

      Delete
    2. grow some ball dogo shindana na mtu kwa hoja na si matusi!

      Delete
  11. Diamond is the best no matter what

    ReplyDelete
  12. Kiba amshukuru sana Dai la sivyo angekuwa bado kalala anallea watoto.

    ReplyDelete
  13. Safi wacha waendelee na bifu zao si tunasubiri mziki tu mambo ya kuwa na mtu mmoja hatutaki lazima kuwe kuna ushindani ndo maendeleo yatakuwepo nyie piganeni sisi tunasubiri mziki

    ReplyDelete
  14. HAUKUNA KAMA DIAMOND MANA HUYO ALIKIBA HAJAWAHI KUIMBA POPOTE ZAID YA KARIAKO MPUUZ TUU HATAFIKA ALIPO DIAMOND KAMWE...MANA DOGO KAJIPANGAAA SANAA KIMAISHA NA KIMZIKII SASA ALIKIBA ANA NINI....HANA LOLOTE ZAID YA KIJUMBA CAHAKEE CHA AJABUU

    ReplyDelete
  15. huyo anachezeiyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa vumbiii alikiba hawez kulingana na diamond popoteee mziki umefika mbali kwa jina la diamond sasa yy alie tuu aliuchezeiyaaa mdaa sasa anashangaa yy akamtafte lulu amle basi hana isue

    ReplyDelete
  16. kwani anapoenda nje diamond hata kama haimbii wazungu si wanaishi hukoo na unajua analipwa pesa kias gan km anakodi viukumbi vidogo vidogo pesa zote madolali anayalipwa na nani hukoo kama si wazungu wanaomwitaa???????????????????eti anaimbia east african kumaaeee watanzania kweli mavi kabisaa anavyoebda anarudi na mamilion wewe unayapata wapi kama sio kusugua gaga hapo kariakoo

    ReplyDelete
  17. DIAMOND IS THE BEST OF ALL TIME.. HUO NIUKWELI HIS DOING GOOD NA NYIMBO ZAKE NZURI..

    ReplyDelete
  18. Ifike mahali watanzania tupunguze maneno , tuwe watu wakukubali kazi na walotuzidi, DIAMOND YUPO JUU anajitihada na nina imani asipoyajali maneno ya wasopenda maendeleo yake atazidi kutoboa na kuleta award nyingi Tanzania , Nchi za wenzetu wanakuwa wakweli kwa realistic sisi tunapenda ushabiki usio na maana kushushana hadhi , Hakikaa Diamond amewekaa historia Africa na Europe ..Namuombe mungu amlindee na na amsaidie kutojali maneno ya watu wenye chuki binafsi tumfurahie mwenzetu anapofanikiwa ndipo nasi mungu atatufanikisha katika mambo yetu ya maisha yakila siku na si muziki tu ..Na alaaniwe anayemchukia mtu alopewa baraka na mungu ! Aliyepewa kapewa yupo mbele na hakuna atayeweza mshusha nakukubali Diamond kaza buti mzeee !

    ReplyDelete
  19. Mmepewa kiasi gani,tafuteni pesa,Dai,Kiba........idiots

    ReplyDelete
  20. Hahaaaaa wa tz bana
    hapo hakuna hata mmoja anaefaidika na haya malumbano zaidi ya kuonesha tusivokuwa na kazi za maana, duh

    ReplyDelete
  21. kiba kachezeya nafasi alipokutana na kina r kelly alifanya nini kama sio kutafta kuma tuu sasa anafulia anaamka dai kashatoboaa hahaha pole kibaa mtoto wa kigoma

    ReplyDelete
  22. Mbona mnapanic sana... Sis tumwmshabikia kiba basi... Ulitaka tumshabikiw mond... Tunashabikia mtu anaejua kuimba, mtu ambae sauti inatoka stejin, sasa mondi jukwaan anaimba au anacheza... Inatia aibu sometime et huyu ndo mwakilishi wetu, tunaonekana wote wa tz hatujui kuimba

    ReplyDelete

Top Post Ad