Exclusive : Diamond Kupewa PHD Chuo Kikuu cha Mlimani, Sasa Ataanza Kuitwa Doctor Nassib.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


TANGAZO NDUGU ZANGU: Ifikapo Tarehe 8 Novemba Saa 10 jioni,Kijana mwenzetu ambaye sisi tunamdharau na wengine wapuuzi kabisa kwa kufeli kwao maisha wana wivu na wanathubutu kumzomea atakuwa anatunukiwa Shahada ya Uzamivu(Phd) na Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam(UDSM) kwa kuthamini mchango wake kwenye jamii…Honorary Phd hata Raisi wetu anayo…Alongside DIAMOND mwingine atakayepewa Shahada hii ya Heshima kwenye Mahafali haya ni Balozi Fulgence Kazaura ambaye amewahi kuwa VC wa UDSM miaka ya nyuma!! Ningependa kuwakaribisha wale Wazomeaji woooteee wenye sauti mbaha kabisa waweze kufika kwenye Viwanja vya UDSM kushuhudia Tukio la Kihistoria kwa Mtoto huyu wa Tandale ambaye ni BIDII NA HESHIMA Vimemfikisha hapa.. SHKAMOO DR.NASIBU ABDUL au Pengine DR.DIAMOND PLATNUMZ au ukitaka swaga DR.PLATNUMZ BABY! Sky is never the limit!Hongera kwa Mameneja waliomfikisha DIAMOND hapo alipo
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. What a stupid gossip is this? Nani kasema hizo shahada za heshima huwa zinatolewa bure bure namna hiyo? Haitatokea

    ReplyDelete
  2. hiii kali!!! UDSM? nani anavuta bangi huko?

    ReplyDelete
  3. ndo maana siku hizi kila mtu utasikia Dr. fulani, au profesa fulani, kumbe zinatolewaga hivi!!! aiseee ngoja na mimi nikaombe!!

    ReplyDelete
  4. Likewise mwenyeyewe ni Dr so what!!!???

    ReplyDelete
  5. atakuwa Dr. Pimbi!! au Dr. Luvvvvv!!!

    ReplyDelete
  6. Jamani si mmuache kijana wa watu?Watu wanaona raha Dai akitukanwa wanazusha vitu Ili atukanwe na nyie mblogger mkiona kitu basi mnakibeba kukisambaza msifikirie kwamba haya matusi haumii nayeye Ni binadamu anaumia jamani yani vitu vingine kwa akili ya kawaida unaona Ni uzushi Tu.

    ReplyDelete

Top Post Ad