google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Flora Mvungi na H-Baba Wamfunika Wema Sepetu Katika Mjengo | UDAKU SPECIAL

Flora Mvungi na H-Baba Wamfunika Wema Sepetu Katika Mjengo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Stori: Gladness Mallya

HESHIMA! Wanandoa, muigizaji Flora Mvungi ‘H.Mama’ na mwanamuziki Hamis Ramadhan ‘H.Baba’ wamemfunika mwigizaji Wema Sepetu kwa kupanga ghorofa.

Akizungumzia mjengo huo walioupanga maeneo ya Mbezi-Jogoo, jijini Dar, H. Mama alisema yeye na mume wake wameamua kupanga nyumba hiyo si kwa sababu ya kumfunika mtu bali wanapenda kuwa huru na kuishi vizuri.

“Hatushindani na mtu katika maisha yetu bali cha msingi tunaangalia nafsi zetu zinataka nini, kuhusu gharama yake, niache kidogo,” alisema Flora.Wema amepanga nyumba ya kawaida maeneo ya Kijitonyama jijini Dar.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. nilidhani wamejenga ya kwao......mhhhh sio mbaya nyways....thats life

    ReplyDelete
  2. Wasenge tu kumamayo zao,unajisifu kupanga???chako kipo wapi?

    ReplyDelete
  3. Wamepanga heheheheehhehe Mburula.com

    ReplyDelete
  4. Tehe! Tehe! Umaarufu kazi!

    ReplyDelete
  5. unatukana apo utazani kibanda cha rum moja unacho!!!, zat life unaweza panga, jenga ni maisha yako mfano kwetu zenji huwezi kununua gari bila kuwa na mjengo wako mwenye ila ni tofauti in bongo watu wanatembelea mkoko huku amekodisha, ni mazingira yenu mliyojiwekea ila ukweli ata kama amekodisha there house is better than yours! na pia hujui plan zao kama wanaweza lipia house tuseme 1.5 million per month or less than 1 million yani wako vizuri na nichangamoto kwa wengine kama wataiga or mtu atajenga ya kwakee yote life!!!

    ReplyDelete
  6. mwenye nyumba ya udongo anakuzidi weye uliyepanga gorofa.

    ReplyDelete
  7. Lakini wamepanga nyumba nzuri, hata kama ya kupanga, life goes on nice house, wanaishi vizuri kwenye mazingira mazuri, wala hawawezi fananishwa na mtu anaeishi kwenye mbavu za mbwa, kunguni, kunguni viroboto, viroboto papasi, papasi hao mbu ndio usisema tena matatizo matupu, hata afya zinakuwa kwenye mgogoro na hizo mbavu za mbwa, Lakini hapo haaa!!! maisha popote bwana, lakini sio mbavu za mbwa na hizo hadha, nani asiependa maisha bora?

    ReplyDelete
  8. Hivi ni mwanamuziki gani yule aliimba ule wimbo usemao 'SIFA ZA KIJINGA' .. nisheeeder!

    ReplyDelete
  9. Wamepanga? nilifikiri wamejenga, yaani wasanii wa bongo ni shidaaa. Pesa wanazopata wananunua nguo na kubadilisha magari tu. Nawashauri tu kama wana uwezo wa kujenga wajenge waache sifa za kijinga eti wamepanga ghorofa!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  10. mjitahidi mjenge ghorofa lenu sio kupanga

    ReplyDelete
  11. kujenga sio issue tatizo nyie hua mnasoma juu juu tu mama H kaeleza vizuri sana yeye anaishi si kwa kushindana ana mtu kwan kupanga nyumba nzuri ni dhambi???haya nyie mliopanga uswahili mmejenga gholofa ngap????si wote wamejenga hapa mjini lkn hukatazwi kupanga gholofa hata 7 acheni ushabiki na chuki??/

    ReplyDelete
  12. Khaa...sasa kipi cha kujifunza hapo..! Angalau wangekua wamejenga hata iksemwa humu it may make sense.!

    ReplyDelete
  13. Du hata mn nilifikiri wamejenga! Waandishi wetu mail sheeder!

    ReplyDelete

Top Post Ad