google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Hasheem Thabeet Majanga Matupu, Atemwa na Team ya Pistons Baada ya Kuichezea Mwezi Mmoja | UDAKU SPECIAL

Hasheem Thabeet Majanga Matupu, Atemwa na Team ya Pistons Baada ya Kuichezea Mwezi Mmoja

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Timu ya Kikapu ya Pistons imemtema Mchezaji wake kutoka nchini Tanzania, Hasheem Thabeet ambaye amejiunga na Pistons mwezi septemba akitokea klabu ya Philadelphia iliyokuwa imemchukua kutoka Oklahoma City Thunder.
Alicheza dakika tano tu katika mchezo mmoja wa pre season na katika mwezi huu amecheza dakika tano tu dhidi ya Washington Wizard huku akikosa jaribio lake moja na kufunga. Pamoja na Hasheem Thabeet wengine waliofungasha virago ni Brian Cook, Lorenzo Brown na Josh Bostic.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad