Hatimae Chid Benz amepata dhamana.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Taarifa ambazo zimetoka muda mfupi uliopita zinasema kuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya Rashid Makwiro ‘Chid Benz’ asubuhi ya leo October 29 amepata dhamana baada ya kutimiza masharti yaliyotolewa.
Chid Benz alipandishwa kwenye mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jana October 28 na kusomewa mashtaka matatu yaliyokuwa yakimkabili ambapo alishindwa kutimiza masharti ya dhamana.
Leo asubuhi amepata dhamana baada ya kutimiza masharti ya kesi yake ya kukamatwa na dawa za kulevya,kesi yake inatarajiwa kusikilizwa tena October 11 mwaka huu 2014.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wangemuacha Mayer debe mwezi mzima,looser kama huyu was nini kitaani?

    ReplyDelete
  2. Wangemuacha anyee debe mwezi mzima,looser kama huyu wa nini kitaani?

    ReplyDelete

Top Post Ad