Je ni Kweli Lady Jay Dee Anampiga Dongo Gadner kwenye Tangazo la Radio la Mgahawa Mpya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mdau mmoja Huko Jamii Forums Amefunguka Hivi kuhusu Tangazo la Mgahawa Mpya wa MOG ambalo amelifanya Lady Jady linalorushwa Radio Mbali Mbali:

"Naamini wengi wamesikia tangazo jipya la mgahawa wa Jaydee unaokwenda kwa jina jipya la MOG na kikolombwezo cha LIFE IS TOUGH na mwishowe anamalizia na YAHAYA UNAISHI WAPIII
Wenye kujua mafumbo wanajua anamaanisha nini!!! Jaydee ni mtu wa nongwa sana na anapenda visasi kapitiliza, ukigombana naye hakuachi mpaka akutungie wimbo wa vijembe kafanya hivyo kwa wengi tu wakiwemo Ruge, Mwana FA, na sasa vijembe vyote ni kwa mtalaka wake, sio kwenye mitandao kwenye vyombo vya habari na sasa kwenye matangazo yake

Mkiwa wanandoa hakuna mmoja anaweza kujvunia mafanikio bila ya mwenza wako, hata ile tu kuhisi kuwa nyumbani nina mke au mume ananisubiri hata kama hana kazi inakupa nguvu ya kufanya kazi kwa utulivu na amani

Huyu mtalaka wake alikuwa ni mme wa mtu mwenye ndoa halali na mtoto juu, kwa kutumia influence yake wakati huo ya vijisenti na umaarufu akampoka asiye nguvu mume....akumbuke mtenda hutendwa.....

Aukubali ukweli, we are living in the world of impermanence...! Nothing last forever, yeye si wa kwanza kusuffer broken heart na hatakuwa wa mwisho... It happens always and ever... Na katika maisha huwezi kupata kila kitu ni ukweli mchungu! Vijembe na mafumbo havitabadili ukweli wala kumpunguzia maumivu" By Mshana jr
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kwani huyo mwanaume alitekwa? si kwa tamaa zake za umalaya mwenyewe aliamua kutelekeza ndoa na familia yake iweje alaumiwe Jaydee? We si umeoa majuzi tu haya yetu macho....

    ReplyDelete
  2. AU WEWE GADNER ULIKUWA MARIOO, MBONA HUELEWEKI YAANI UJANJA WOTE HUO KUMBE HUNA MISSION ZA KUINGIZA UNA MTEGEMEA HUYO DADA KWELI WEWE MTOTO WA KIUME HATA AIBU HUNA? AU NA WEWE INGIA KWENYE BIASHARA ILE YA KUWATOA WATU HARAKA HARAKA, LAKINI NZOWE ASIKUJUE UTAAIBIKA MAPEMA

    ReplyDelete
  3. Wanaume mki achwa mnapiga kelele ila mnavyo wa nyanyasa wanaweke mnaona starehe sana,cha ajabu nini hapo jide alicho fanya kama gadner amekua yahaya kimpango wake kwani si ajitume hebu acheni kuwa na majungu acheni watu wafanye yao.

    ReplyDelete

Top Post Ad