Martin Kadinda Amuanika Mpenzi Wake Anayetarajia Kufunga Nae Ndoa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Na Imelda Mtema
MWANAMITINDO maarufu Bongo, Martin Kadinda ameamua kumuweka wazi mpenzi wake ambaye siku za nyuma alikuwa na mpango wa kufunga naye ndoa mapema mwaka huu lakini kukatokea tofauti kidogo wakahairisha zoezi hilo.

Akizunguza na  mwandishi wa habari hivi karibuni, Kadinda  aliweka wazi kuwa huyo ndio mke wake mtarajiwa na Mungu akipenda watafunga naye ndoa mwakani.  “ Ni kweli ni mpenzi wangu nampenda sana na Mungu akipenda ndiye mke wangu ambaye nitafunga naye ndoa mapema tu mwakani na Mungu atusimamie katika hilo,” alisema Kadinda.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sasa huyo Dada atakuwa analipwa sh ngapi kulala na mwanamke mwenzie??

    ReplyDelete
  2. lakini huyo kadinda si shoga vile vile makubwa haya usipoamini ya musa auaona ya firau

    ReplyDelete
  3. Hahahaha hahahaha eee

    ReplyDelete
  4. Ukisstajabu ya musa.

    ReplyDelete

Top Post Ad