Mbowe Atolea Ufafanuzi Picha Iliyosambaa Mitandaoni Akibusiana Laivu Laivu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Week iliyopita Picha hiyo hapo juu ilienea mitandaoni ukimuonesha Freeman Mbowe na Mkewe Wakibusiana Live ....Mbowe Ameongea haya Kuhusu Picha hiyo :

“Kwanza mke wangu alikuwa anatimiza umri wa miaka 50 ya kuzaliwa, vilevile firstborn wetu Dudley alikuwa amemaliza shahada yake ya kwanza Chuo Kikuu cha Sussex, Uingereza, kwa mambo hayo mawili, tuliona ipo haja ya kufanya sherehe, ukizingatia watoto wetu wengine wawili Nicole na Denis walikuwa wamerejea nchini kwa sababu nao wanasoma nje ya nchi.

Siku hiyo ya tukio ilikuwa Jumapili, tulianza kwa kwenda kanisani Azania Front tukatoa sadaka, baada ya hapo tulikwenda Serena Hotel kwenye Ukumbi wa Kivukoni ambako chakula cha mchana kilikuwa kimeandaliwa, tukajumuika na ndugu wengine pamoja na marafiki.

“Haikuwa sherehe tu kusema labda nilikurupuka kumbusu mke wangu, ilikuwa sherehe ya kifamilia, kumpongeza mke wangu na mtoto wetu,” alisema Mbowe.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

23 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Cha ajabu nini,mpaka itolewe ufafanuzi?

    ReplyDelete
  2. ACHENI UDAKU USIO NA TIJA KWA TAIFA JAMANI, ATA ANGEAMUA TU BILA SABABU NI MKEWE HALALI BWANA TAFUTENI HABARI ZENYE TIJA

    ReplyDelete
  3. haki yake...mbona obama anafanya sana hivyo...acheni ukuda

    ReplyDelete
    Replies
    1. we wap kwaio obama akila mtu tigo na wengne waige
      .....we sema ni mke ana haki ya kumbusu basi......

      Delete
  4. Sasa mlitaka awabusu wake zenu? ile ni mali yake na anauwezo wa kufanya chochote sio wengine busu wanatoa kwa vimada tu

    ReplyDelete
  5. Halafu watuwanafiki kushabikia mambo tu,cha ajabu kipi simkewe mavi yenu umbea tu naushabiki mandazi.halafu Li Joyce kiria likakurupuka tu kuanzisha topic unafiki tu.temana na maisha ya watu yako yanakushinda,nahii iwafikie wanafiki wote mnajijua kunya anye kuku akinya bata kaharisha wambea wakubwa.fanyeni yenu idiots...nonsense

    ReplyDelete
  6. Mbona kawaida kwa wapendanao na wanaojali?

    ReplyDelete
  7. kumbeeeeeeeeeeeeeeeee!ndio maana mume wangu nae kaanza mabusu ya nguvu kwangu,
    nilikuwa najiuliza, kulikoni? Mapenzi bwana ,hayanaga uzeeeeeeeee,hahaaaaaaa!Asante Mbowe mweee!

    ReplyDelete
  8. Hahahaha anonymous 12.05
    tumepewa darasa na muheshimiwa.

    ReplyDelete
  9. Na tundu lisu nae huwa anachanganya konyagi na safari..ajiangalie asije akaaibika kama kengeza..

    ReplyDelete
  10. what wrong? please keep it up!!

    ReplyDelete
  11. Nimependaje,
    wengine mabusu ni kwenye michepuko tu,ndani aah.

    ReplyDelete
  12. Mabusu ya mbongo ni ya michepuko tu, ampe busu mkewe. Nyumba ndogo akiona jeee!!!! itakuwaje??? si ndio itakuwa balaaa, na kuchunwa kwa wingi, maanake nyumba ndogo ataona wivu ataon bora nivute changu kingi mapema kumbe anampenda mkewe!!!!!!

    ReplyDelete
  13. kwa hiyo unataka kusema nyie mkija kubusiana hadi mpange sherehe? hata ukikurupuka ni jambo la kawaida, mie na my hasband tunabusian any time, sehemu yoyote sema labda aina ya kiss, make kiss nyingine hadi chumbani, upo hapo! acha ushamba, nilikuona mwelewa hadi kufikia kuishi majuu kumbe hamnazo! ufafanuzi wa nini na hali ni mkeo? mie nilidhani mchepuko sasa unajieleza kwa mkeo.

    ReplyDelete
  14. Naona wengi mnastaajabu pusu la kunyonyana ulimi Ni sehemu ya ngoni na mila nyingi za watanzania au hazifanyi ngono azalani hiyo ndio sbb achini kuiga ujinga igeni maendeleo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hawajanyonyana ulimi,angalia vizuri mdau.

      Delete
  15. Mmh,imekaa vyema sana.
    sisi wengine mabusu ya hivyo ni mpaka siku anasafiri ndio upewe busu au anaporejea kutoka safari.vinginevyo tumekuwa wa kuanza tuuuuu na sio aanze yeye,na hapo nina miaka 28 tu,
    sasa nikifikia huko 50 sijui itakuwaje,

    ReplyDelete
  16. WATANZANIA WENGI MAKUMA

    ReplyDelete
  17. Bora uwaonyeshe bado uko na mkeo maana yamesemwa mengi. Wanafiki wakome.

    ReplyDelete
  18. ni kweli wengi wenu mabusu hayo ni kwenyemichepuko kwa wake zenu hakuna!!

    ReplyDelete
  19. HAKUNA CHA AJABU HAPO!! BRAVO KAKA MBOWE

    ReplyDelete
  20. Nashangaa hata Mbowe anajibu nini. Hapaswi kujieleza hata

    ReplyDelete

Top Post Ad