Mwanamuziki Ali Kiba Akanusha Vikali Kuwa Aliandaa Watu Kumzomea Diamond Fiesta

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwanamuziki Ali Kiba a.k.a The King is Back  Amekanusha Vikali Uvumi ulio enea mitandaoni na magazetini kuwa eti alikodisha watu kwa ajili ya kumshangilia yeye na pia kumzomea Diamond Platnumz...Ali Kiba Amesema hawezi fanya kitu kama hicho kamwe kwa sababu hakina faida yoyote katika mziki wake ...Ali kiba pia Amewashukuru sana mashabiki kwa jinsi walivyompokea siku hiyo kwa kusema kuwa kitendo hicho cha kupokelewa vizuri kimempa matumaini mapya kimuziki.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mimi sio shabiki wa Diamond wala Kiba,
    lakini kwa hili hainiingii akilini kuwa Kiba amekodisha watu wa
    kumzomea Diamond.kwa hela gani aliyonayo kiba mpaka afanye hivyo?
    kwa upande mwingine naona kama vyombo vya habari vinachangia sana kuwagombanisha.
    Kiba wewe ni mkubwa sana kwa Diamond,anza kuonyesha amani,munaweza kumaliza hili tatizo lililopo kati yenu.Malumbano hayafai.

    ReplyDelete

Top Post Ad