google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Mwigizaji Mainda Amwagiwa Sifa Kede Kede Baada ya Kubadilika na Kushinda Mapepo ya Bongo Movies | UDAKU SPECIAL

Mwigizaji Mainda Amwagiwa Sifa Kede Kede Baada ya Kubadilika na Kushinda Mapepo ya Bongo Movies

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Tupate Umbea wa Instagram Kidogo ....
Mwanadada mwigizaji wa Tasnia ya Bongo Movies Mainda Amepewa Sifa kwa Kubadilika na Kuacha mambo ya Skendo kama Wenzake wa Huko Bongo Movies ....Akanti Maarufu ya Michambo huko instagram ya Mrekebishatabia Imeandika Haya Yafuatayo:

"We mtoto @ maindasmallbaby ni mrembo unayejitambua leo naomba nikupe hongera kwa kushinda yale mapepo ya "bongomovie" na globalpublishers umekuwa mtoto mzuri hadi raha. Watu wanabadilika jaman msiendelee kumjudge kwa yaliyotokea. Ni kiumbe mpya kwasasahivi, Mainda wasaidie na wenzako jinsi ya kujitambua na kumfuata Mola. Ila usiache sanaa, wewe ni mwigazaji mzuri na unakubalika nchini. Natamani tukuone zaidi kwa game.. Speed yako nzuri unafaa kuwa mama mchungaji!!! wavute na akina Ray waje kanisani kwa Mungu hakuna linaloshindikana!! ....Byeeee, weekend njema wapenzi!!"
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. bora umemtia moyo songa mbele mungu awe nawe daima

    ReplyDelete

Top Post Ad