Ndoa ya Lady Jay Dee Sasa Basi Huu Ndio uthibitisho Kamili

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Huku wakiendelea kugoma kuwa wameachana siri ya ndani ambayo inazidi kufumuka kwa mastaa wawili ambao wemetengana kinyumba ambao ni mwanamuziki Judith Wambura'Lady Jay Dee'na mtandazaji kiwango Gardner G Habash. 

Taarifa za hivi zinaeleza kuwa Jaydee ameanza kumfuta Gardner kwenye urithi wa mali mbalimbali ili baadae wasije kuleteana shida kwenye mgao.
Chanzo cha ndani kinasema kuwa tayari Jaydee ameshauza nyumba moja huko kimara na ula mgahawa wa Nyumbani Lounge ambao aliutangaza kuufunga sasa anaufungua kwa jina la Mog Bar& Reutsaurant
"Kiukweli ni kwamba hawa jamaawameachana rasmi ila hawataki hili lijulikane kwa upande wa Lady Jaydee ameanza kulihakiki mali zote walizokuwa wakishea na Gadner kwa ajili ya kuzipa umiliki wake,tayari nyumba moja wameshauza na sasa amekodi upya ule mgahawa wa Nyumbani Lounge na utaanza kazi rasmi" chanzo hicho.
na kwa upande mwingine ladyjaydee amemtimua kazi rasmi Gadner kama meneja wake na sasa kazi zote zinazimamiwa na Rapa Wakazi
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jamani jide tuweka wazi wapenzi wako!! mbona hili linatuhudhunisha sanaaa!!!!!

    ReplyDelete
  2. Mariam Nyamilele28 October 2014 at 17:39

    Binafsi sifurahii kutengana kwao kwani wao walishaapa kwa kiapo kimoja kuwa watajaliana kwa shida na raha, sasa haya mabadiliko waliyoyapokea kutoka kwa shetani nawaombea kwa Mungu arudishe nyoyo zao wasameheane kwani duniani hakuna mkamilifu yeyote kati yao hata akipata mwenza mwingine bado atakumbana na matatizo mengine tena mapya ambapo ataona kheri tofauti zetu za awali kuliko za huyu.
    Hivyo basi mimi kama mzazi niwaombe wakae upya kufikiri hizo tofauti zao na maamuzi ambayo wamechukua kuyapa muda wa kubadili maamuzi ambayo wamefikia.
    Mungu Wabariki!

    ReplyDelete
  3. Yaani mnamkaribisha shetani hivihiviiii! Jamani mimi kama mpenzi wa Team Anaconda habari hizi zinanisikitisha mno! Kwenu hakuna wakubwa wa kusuluhisha jamanoo? Naomba habari hizi ziwe za kizushi kwani kubadili majina ya makampuni ni kosa? Tulianza na Sheraton, Moven Pick hadi leo sijui nini vile! Lindeni ndoa yenu kama Jay Z na Beyonce, saa hizi watu wamefyata kimyaaa!

    ReplyDelete

Top Post Ad