Sintah 'Lundenga Watanzania Wa Sasa Sio Wa Zamani Wakuburuzwa Buruzwa Tuu Ona Unavyoaibika'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Daah Ona jinsi Lundenga unavyoshusha hadhi ya mashindano haya, ona jinsi unavyoaibika na kutungiwa sms zinazosambaa mitandaoni yote hii ni kwasababu ya fitna iliyoendelea....
kwakweli hii Miss haijawahi kutokea Tanzania, wa Tanzania wa sasa sio wa zamani wa kuburuzwa buruzwa tuuuu, wanaelwa kila kitu, maneno mengi yameongelewa na Lundenga usijiaibishe katika kipindi hiki kigumu.... daaah inasikitisha but naamini  mtalifanyia kazi na kutujuza wa Tz maana ni mambo ya ajabu vitu vya ajabu, mara miaka 18, mara 23, mara 25 ilimradi kila mmoja anasema lake.

Lundenga hebu rudisha Miss Tanzania ya zamani watu wakisikia Miss Tanzania inakuja tunaanza kutafuta nguo mwezi mmoja maana lilikuwa moja ya shindano kubwa Tanzania, ila kwa sasa si apeche si aloloo.... jua umewaudhi sana watu tena sana, mbona kwa Briggite, Hapiness hawakusema?? iweje huyu?? kwa kipi haswa watu wamuonee wivu yeye?? Sitti anaweza akashindana na Ms Alfred kwa kitu chochote?? kwanini hawakuwasema hao waliopita wampinge yeye BIG NO Mr Mkurugenziii....
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. we sintah kauze kuma uko we unajua nn waliongea kwa genevieve mpangala kisa mtoto wa mkubwa unashangaa na ili kuwa mtoto wa mbunge akuna kazi za kufanya kila gazeti sitti mbona amuongei waandishi wa habari walivyokosa tuzo za cnn kazi umbea tu shenzi ww mwakani shiriki ww msenge

    ReplyDelete

Top Post Ad