Skylight Band Wajitamba Kuwa Wao Ndio Wamechangia Kushuka Kwa Umaarufu wa Machozi Band

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwanadada Aneth Kushaba Ambae ni Maneja na Mwimbaji wa Band ya Skylight amesikika akijitamba kuwa Band hiyo ya Skylight ndio imechangia kuipoteza Band inayomilikiwa na Lady Jay Dee inayojulikana kama Machozi Band ...Anath Amejitamba kwa kusema kuwa walichukua wanamuziki wawili ambao walikuwa ni nguzo ya machozi band na kuanzia hapo mambo kwa machozi band yakaanza kwenda mrama na kupotea katika ramani ya muziki Bongo.

Je Unakubaliana na Hilo ? Skylight Band na Machozi Band ipo Bora kwa sasa?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. freemanson ndio imewaangusha machozi band,kwa kuwa gadner na jaydee awakutakiwa kuachana.

    ReplyDelete
  2. mtakuja kufirwa na vizinga vya moto wewe ndo mtoa mashart wa freemason? mtu hata bila haya unathubutu kusema maneno ya ajabu ajabu 2 hata haya huna yani kijimtu kinajua taarifa za watu kuliko hata kinavyojifahamu chenyewe hizo ndoa za kusimamiwa na freemason zimeanza lini kama wewe umelijua hilo ulikuwepo wakati wanapewa sharti hilo ama laaa bac ushajikita ukakubuhu katika umbea fikir kabla c kulopoka 2.

    ReplyDelete
  3. Huyu anneth nae hovyooo,unajiona ukojuu umesahau kuna mashujaa nendanahuko kanyakue basi.halafu ucheze kwapart yamwili,kiuno kivyake na mwili kivyake,we unacheza mwili mzima umekaza umekomaa utafikiri mcheza Mpira chezakike sio unagagamala mwili mzima kama uko gwaride.wakati huo mziki.mcheki mwenzio uliesimama nae hapo anatikisika kike sio wewe nakelele zako hapa

    ReplyDelete

Top Post Ad