Ukistaajabu ya Tanzania Hujayaona ya Kenya..Huyu Ndio Miss Kenya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ukistaajabu ya Tanzania Hujayaona ya Kenya..Huyu Ndio Miss Kenya , Usipaniki tulia ana Miaka 19 tu , ana degree, masters na PHD...Beautiful Onyinye...LOL
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. unajua ww ni mshamba sana,tutoe maoni gani sasa ww kwa akiri yako na elimu ndogo uliyonayo unafikiri umiss ni uzuri wa sura huyo unamstaaajabu ndo atawakilisha vyema miss world

    ReplyDelete
  2. Miaka ya mamiss yaesabiwa vipi Ana miaka 19, mm nimkenya mfumo wetu wa elimu ni 8-4-4,na kuna miaka miwili ya chekechea so alianza kusoma akiwa na miaka mingapi? Ama alisoma nje ya kenya naomba jibu hapo tafadhali nimechanganyikiwa na hio hesabu ya miaka na masomo

    ReplyDelete
  3. shule mihimu soma ndugu,huyu sio miss kenya anashindania umiss kenya akitokea siaya,ndivyo ilivyo andikwa ama huoni

    ReplyDelete
  4. anastshili kushinda ni mdantu hasa hana uzuri wa dukani ni halisia kwani nyie mnatakaje

    ReplyDelete
  5. anastahili kushinda ni mbantu hasa hana uzuri wa dukani ni halisia kwani nyie mnatakaje

    ReplyDelete
  6. jina lake ili tumgugo,usijekuwa umepika habari

    ReplyDelete
  7. shut yo stupid ass! huyu anasimamia Siaya..bado haja pewa tuzo la Miss Kenya. Research kabla kuandika ur lies.

    ReplyDelete

Top Post Ad