Ukweli Kuhusu Diamond Kupewa Udoctor na Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jana kuliendea uvumi katika mitandao ya Kijamii kuwa Diamond atatunukiwa Udaktari na chuo kikuu cha Dar es Salaam kutoka na mafanikio yake kimuziki ...
Habari hiyo si ya kweli ..Haya hapa chini na majibizano kati ya Profesa Mgaya na mmoja wa viongozi wa Diamond...

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wabongo wanajua kweli kutumia vitu hovyooo!!!! baada ya kuwa na mitandao ya jamiii basi wanarusha tu ulimbukeni usio kuwa na kichwa wala miguuuu!!1

    ReplyDelete
    Replies
    1. huyu jamaa anayejiita bikira wa kisukuma ndie aliyesambaza hizo habari.. jamaa much know sana.. anajifanya anajua each and everything.. mbona kaishia kufuta post!!

      Delete
  2. JAMANI, ITABIDI AWE DAKTARI WA MAPENZI AU MZIKI? MAJANGA

    ReplyDelete
  3. OUT OF TOPIC. Mi nauliza huyu mtu anajiita Lemutuz, kwanza kabisa umri wake, elimu yake na kazi amayofanya. Mana vitu anavyofanya, ninavyokadiria umri wake, elimu anayodai anayo, exposure anayodai anayo haviendani kabisa na mambo anayoyafanya. Nachoshangaa anajilinganisha na watu ambao haendani nao hata kwa kitu kimoja, anadai ana Degree 3, sasa degree ni inputs you have to ultilize it to produce outputs unless otherwise ni useless, labda mi simjui vizuri kuna mtu anaweza kunisaidia huyu mtu kafanya nini tangible na kina manufaa gani kwa jamii mapaka ajilinganishe na vijana ambao kweli tunajua wanachokifanya na hata wanatoa ajira kwa vijana wengine wengi tu au ndio ameajiri mpiga picha anampiga picha za kuweka kwenye social media, niliona eti anauliza maswali kisha anatoa zawadi za vigauni kwa watoto wa kike. Huwa naona anapiga picha na watu kama Joseph Kusaga, Erick Shigongo, Yusuph Bhakresa, Salum Lussasi, na wengineo eti ansema ndege wa rangi moja huruka pamoja. watu hawa wamefanya vitu ambavyo vimeonekana na jamii na wamesaidia kuongeza nafasi za ajira kwa vijana kisha huyu mtu anajiita Lemutuz anajilinganisha nao sijui anafanya nini mpaka anajiilinganisha na hawa watu au ni hivyo vigauni anavyotoa zawadi, si bora Diamond anaimba kutuburudisha na kuitangaza nchi yetu. Kwanza anafanya kazi gani mana hayuko busy muda wote hupiga picha na watu especially watoto wa kike na watu anaotudanganya ni rafiki zake (lakini nazani wengine huomba tu kupiga nao picha mana hawaendani hata kidogo) kwenye tafrija mbalimbali zingine nazani huwa hajalikwa pia, mana mtu huwezi kuwa na marafiki wote hawa labda huna misimamo na ni mnafiki, ukiongea nae sana atakuambia oooh mi baba yangu alikua balozi, alikua waziri wa mambo nje, ooh nakaa see view ambako pia nazani ni kwa baba yake hivi kweli mtu wa umri wake anapaswa kuongea hayo, niliona siku moja kapiga picha na Wema Sepetu eti anasema baba zetu walukua mabalozi tumekula wote bata osterbay sasa sijui mtu wa umri wake bado ana haja ya kujisifia kupitia baba yake badala watoto wake kujisifia kupitia jina lake, mbona baba yake kwa umri wake tayari alikua kiongozi wa nchi hii, kwa kweli huyu mtu ananishangaza sana haya mambo ni ya watoto wa miaka 16. Sasa hivi anasema nafatilia vyeti vya Sitti Mtemvu ili avuliwe taji mi nazani kwanza tufatilie hivyo vyeti anavyodai ana degree tatu. NAOMBENI MNISAIDIE LABDA MI SIMJUI VIZURI HUYI MTU ILA ANANISHANGAZA SANA

    ReplyDelete
  4. Anashindana na mbuta nanga maana mbuta nanga nae anadhindano instagram anatoa elfu hamsini kwa mshindi sasa huyo le mutuz yeye amejikoki kwenye vig au ni hahahaaaaaaaaaaa kituko

    ReplyDelete

Top Post Ad