Wanaume Tuache Ubahili Tuwatunze Wapenzi Wetu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kwanza nianze kwa kukili kua maisha ni magumu sana nadhani kila mtu anajua.

Na katika mahusiano ya mapenzi kati ya me na ke lazima kunakua na tofauti ya kipato, yaani Mara nyingi wanaume wanakua na hali mzur kimapato kuliko mwanamke.

Nieleweke vizur kua si maanishi kua wanawake wote wanakipato duni LA hasha.

Ningependa kuwashauri wale wenye wapenzi WA kike mambo haya yafuatayo:-

1 Ujue tofauti ya kuchunwa na kuhudumia unapokua na mpenzi ujue ni jukumu lako kumpendezesha anapopendeza watu watajua we ndio kidume uliemwezesha.

2 .Sio mpaka akuombe ndio umpe. jaribu kumfaam hali ya maisha na kipato chake ujue kukisia cha kumpa kwa matumizi yake.

3.Usiulize ya nini,ikitokea mpz amekuomba HELA usiulize ya nn ye ni MTU mzima awezi kukuomba HELA akaenda kuchambia.

4. Kutumia pesa nyingi sehemu ya starehe.
Kuna watu wanaenda mpaka hotel ya nyota 5 kustarehe akitumia zaidi ya laki tano.cha ajabu baada ya kutoka hotel anamwacha mpz wake 10000 ya nauli.
Huu ni ujinga bora ungeenda ata lodge ya nafuu ye ukamwacha na HELA ya kutosha.

5.Tenga ata 10% ya mshahara MPE yeye aangalie kama kuna kitu cha kurekebisha arekebishe.

NB.
APA ni kwa wale Wanaume wanaowazidi kipato wanawake wao sio wanawake wenye vipato vizur.

Tusiwe wataalamu wakutafuta Gspot wakati ukiombwa ata 1000 unanuna mapenzi ni pamoja na kupunguzia makali ya maisha.

Yeyote mwenye chochote anaweza kuongezea apo.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Haaaa leo umenena haswaaa.kunawale mtatoka mtatumia million anaona poa tu.ngoja mkapumzike akikuacha hata hela ya kutumia hakupi akikupa 10-20.mamaeee sasa hawandiowale kutwa tunawakimbia,bora upangwe foleni na mwanaume mtoaji hela unajua kabisa tukiachana helayakutumia sikosi atanipa ingawa kunafoleni lkn anagawa kilamtu chakwake kuhusu ukimwi condom zipo.hao mabahili wataisoma namba

    ReplyDelete
  2. SASA chagua moja. unataka gspot iguswe vzr au pesa. maana mnatakaga kila kitu.

    ReplyDelete

Top Post Ad