Wema na Aunty Husagana! Wadendeka Laivu..Diamond Akasirika Aondoka na Wapambe Wake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Stori: Musa Mateja na Imelda Mtema
Ni sheedah! Pamoja na kukanusha kwa kutumia nguvu kubwa, nyuma ya ushosti wa mastaa grade one wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ na Aunty Ezekiel kuna siri nzito ikidaiwa kwamba wawili hao husagana.

TUKIO BICHI 
Madai hayo ya muda mrefu huku wenyewe wakisisitiza si ya kweli, yameibuka upya juzikati baada ya warembo hao kuonesha mahaba niue au nikongorowe kisha ‘kudendeka’ hadharani na kusababisha mwandani wa Wema, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kukasirika na kuondoka eneo la tukio akiambatana na timu yake ya Wasafi Classic Baby (WCB).

ILIKUWAJE? Tukio hilo lililoshuhudiwa na wanahabari wetu lilijiri usiku wa kuamkia Oktoba 28, mwaka huu ndani ya Mgahawa wa Rodizio, Masaki jijini Dar ambapo Aunty alikuwa akisherehekea siku ya yake ya kuzaliwa ‘bethidei’.

WEMA ATOKEA DUBAI 
Shughuli hiyo ilitawaliwa na matukio baada ya Wema kuwasili ukumbini hapo akitokea nchini China kupitia Dubai alikokwenda hivi karibuni kwa biashara binafsi ikidaiwa kwamba amerejea na mkwanja wa kutosha.

Wema alitinga ukumbini hapo saa 7:15 usiku na kuwakuta wadau wakiendelea na sherehe hiyo ambapo mara tu baada ya kufika alikumbatiana kimahaba na  Aunty zoezi lililochukua dakika kadhaa wakiwa wamenasiana huku wakifunika nyuso zao kwa zile nywele nyingi za Wema hivyo kilichoendelea humo ndani hakikujulikana. Walipojifunua kwenye nywele ndipo ikabaini kwamba kumbe walikuwa ‘wakidendeka’ bila kujali wingi wa kamera.

WASHUTUMIWA 
“Mungu wangu, leo mambo hadharani. Mbona ni sheedah? Yaani wanadendeka hadharani! Kwa vyovyote vile Wema na Aunty husagana,” alisikika mmoja wa waalikwa.

Mmoja wa waigizaji chipukizi alidakia: “Yaani utadhani wapenzi kabisa maana kila mmoja anaonesha hisia za kumisiana. Hawaogopi kuambiwa wanasagana? Haya bwana, yetu macho maana leo tutaona mengi. Vitendo kama hivi ni vya kulaaniwa vikali na kuwakumbusha kwamba wao ni kioo cha jamii.”

DIAMOND AKASIRIKA, AONDOKA 
Kufuatia  hali hiyo, Diamond alionekana kukasirika na kushindwa kuvumilia hivyo aliamua kuwaacha wajinafasi kwa kuondoka ukumbini akiwa ameambatana na timu yake. Waalikwa waliokuwa ndani ya ukumbi huo waliendelea kupigwa butwaa na kitendo hicho hasa Diamond alipoamua kusepa huku nyuma Wema na Aunty wakibaki huru na kuendelea kufanyiana mambo ya kimahaba mara nyingine wakati wakilishana keki kwa staili ya njiwa.

AMANI LAMVAA AUNTY 
Baada ya kuona hali hiyo, paparazi wa Amani aliyekuwa ukumbini hapo alimvaa Aunty na kumuuliza kwa nini ameamua kuonesha hali hiyo mbele ya kadamnasi ambapo alijibu hakuna mambo ya usagaji. Alisema hali hiyo ilitokea tu maana yeye na Wema ni marafiki ambao wameshapitiliza hivyo wamejikuta wakiwa kwenye hali hiyo bila wao kuona kama ni tatizo. “Kwani nani asiyejua kama mimi na Wema ni marafiki, suala la kukisiana ni jambo la kawaida kwetu.
GPL
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Eddie hiyo sio kiss muafaka kwa watu wa same gender wewe Ni mshamba unarukia mambo ya wamagharibi Bila ya kuelewa kuwa Ni ushoga

    ReplyDelete
  2. WAZUNGU WENYEWE WANA AINA ZA KISS, MAMA NA BABA UKISIANA TOFAUTI, MAANA KWAMBA KWENYE SHAVU NA PAJI LA USO, UTOAFAUTIANA KWA MTOTO NA BABA AU MAMA. MPENZI YAANI BABA NA MAMA NI KWENYE MDOMO NA HATA KUDENDEKA. SASA HAWA NI UZUNGU AU USHOGA MAANA KUSAGANA! KALABAGAO!!!

    ReplyDelete
  3. pumbavu watanznia wote..mtakalia kuona watu wanasagana mana hamwelewe kissing zikojee wewe kumbusu hata dada ako mpaka akiwa kwenye jeneza

    ReplyDelete
  4. Diamond Ana nuksi kupata mademu Wa ajabu ajabu penny Na Jullie dolls kipindi kile kabla awajamwagana urafiki walikuwa wanasaga,kajala,Na Jullie pia.Sasa hivi Jullie kajibebesha mimba kwa rummy eti aondokane Na dhiki.rummy auza poda.

    ReplyDelete

Top Post Ad