Wema Sepetu Aponda Raha China Huku Diamond Akiugulia Machungu ya Fiesta

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

WAKATI bebi wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiugulia maumivu ya kuzomewa na mamia ya mashabiki wa muziki katika Tamasha la Fiesta jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wikiendi iliyopita, Wema Sepetu ‘Madam’ anaponda raha ya maisha nchini China, Amani lina full data.

Chanzo makini kilicho ‘kloz’ na muigizaji huyo nyota wa filamu nchini, kimesema Wema alipaa na ndege ya Emirates wiki iliyopita, siku chache kabla ya Tamasha la Fiesta, akiwa ameandamana na wanaume wawili, ambao ni meneja wake, Martin Kadinda na Petit Man, wote wakiwa wamekaa daraja la kwanza la dege hilo.

Chanzo hicho kilizidi kunyetisha kuwa gharama zote za safari hiyo zilibebwa na Madam mwenyewe na kwamba baada ya kufika katika jiji la Guangzhou nchini humo, Wema na wanaume hao wawili walichukua vyumba katika Hoteli ya Holiday Inn, inayotajwa kuwa moja ya hoteli ghali zaidi huko China.

“Yaani Wema jamani ana mambo, inavyoonekana lile rhumba la wakati ule ameshalisahau, amesahau kabisa kama alishafulia, sasa Mungu kamjaalia kapata pesa anavyoitapanya ovyo mpaka roho inauma. Wewe fikiria mtu amekwenda kuchukua vifaa vya biashara, unakwenda na hao wanaume wa kazi gani kama siyo kupoteza fedha tu,” kilisema chanzo hicho.

Inadaiwa kwamba kilichompeleka Wema katika nchi hiyo yenye watu wengi zaidi kuliko yoyote duniani, ni ununuzi wa vipodozi, kwani ana mpango wa kufungua duka kubwa katika eneo ambalo halijatajwa jijini Dar es Salaam.

Baada ya kufika huko, chanzo kinasema kuwa watu hao watatu wamekuwa wakiishi maisha ya starehe, wakila bata katika klabu mbalimbali za usiku, ambako wanajichanganya na watanzania wengine kuponda raha.

“Kwa matanuzi anayofanya kule, hata hiyo biashara aliyoifuata haina maana, angekuwa mtu mwenye nia ya biashara kweli, angetafuta tu hoteli ya kawaida ili kubana matumizi aweze kuja na mzigo mkubwa, sasa wewe mwenyewe fikiria, hii wiki ya pili sasa, tena na wanaume wawili wanakutegemea, hizo pesa si kuzitapanya tu jamani,” kilisema chanzo hicho kikionyesha kutofurahishwa na maisha ya staa huyo.
GPL
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sikio lakufa huyo.atakuwa kaenda vacation sio kibiashara.wanaoenda kibiashara hatakama wanapesa hawawi hivyo.naukiona mfanyabiashara anafanya hivyo ujue tayari ni billionaire.sasa yeye ananini?kiazi tu huyo namuelewa sana domo alivyosemaga huyo msanii wenu hv na vile.anaakili zake acha amtimbeeee akichoka ambwage yakazigani kuoa janamke lisilojielewa kufanya mambo kwa sifa tu.

    ReplyDelete
  2. huyu anapo elekea ni kubaya sana na hao wanao mlamba kisogo watamkimbia very soon. Hana elimu ya kutosha kaishia secondary, upeo wake haukui anafikiri yeye ado ni mtoto, haambiliki anajua kila kitu siku atakayo kuja kufumbua macho atakuwa omba omba sasa.

    ReplyDelete
  3. na nyie mbwa mnao jitapa anaelekea kubaya mlikuepo wakati anatumia pesa??au mnaamini maneno ya magazeti??na hata kama anatumia kwani kuna mtu amemchangia hata sent????acheni majungu..mapovu yanawatoka wema kuendelea kuwa juu angepanda ya kawaida mngesema kafulia..pumbavu zenu..badala muombe nafasi za kaz endless fame nyie mmebakiza majungu kazi kushinda blogs kumfatilia wema..mumkome whatever hajatumia zenu mwacheni na maisha yake..pimbi nyie..mlitaka afulie lakini mungu mkubwa kawaumbua..watu tangu mmezaliwa hata fastjet hamjawah kupanda sasa ndo joto hasira na bado mtaongea mpaka midomo ipinde

    ReplyDelete
  4. Yakimkuta ukamkumbatie naumpe ajira kwako hata yakuosha vyombo tu maana weunatetea matatizo.asiambiwe kwani yenani tatizo lanyie team yake wengi mnashabikia mavi tu.hana akili natushasema sasa sifa tu.kweli ukiwa mzuri bila akili wewe ni bure tu

    ReplyDelete
  5. mbwa ninyi hamuishi kumsema wema kumaaaae zenu akipata atulie akifulia asemwee kumaaaae zenu watanzania wote wenye wivu mkafilane na mbwa akiwemo adimin

    ReplyDelete
    Replies
    1. mbwa limama lako senge halikufunga liuchi lake kila jibwa anatombwa nalo ukaziliwa wewe funza mxiuuu unanuka mkundu kafirwe na baba zako maana humjui kati yao

      Delete
  6. Kwani kina wauma nn hela zenu akifulia atawahusu daaah wabongo kweli hamnazo fuatilieni ya kwenu ya wema yana wahusu nn fyuuuuuuuuuuuuuu waone kwanza sura mbaya kufa hamtaki panya nyie!

    ReplyDelete
  7. hivi mnatukanana kwa ajili ya mtu ambaye atahawahusu inawasaidia nini

    ReplyDelete
    Replies
    1. yaani hawa ni wasenge mamkuma hawa,,yaani kutwa nzima ni kutukana tu ..muacheni azitumie si yeye

      Delete
  8. Jamen uchungu wa nini! amwage pesa asimwage hajakuomba wala kukukopa waumwa na nin?biashara yake yakuhusu or unashare nae! aendee china kwa starehe we unashida gan kama zako wazitumia kwa njia sawa?

    ReplyDelete

Top Post Ad