Diamond Platnumz na Zari Katika Mapozi Tofauti ..Movie Ndo Limeanza Au?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Thank you @diamondplatnumz for this opportunity. Africa get ready for our new project #uganda #Tanzania
Baada ya zari Kupost hiyo Picha insta hizi ni Baadhi ya message kutoka kwa Fans wao:

 maulidmlangwa
Kwanza walitoka wote south afrika Pamoja,walipanda ndege moja,walikaa siti pamoja,walishuka dar pamoja,wanakutana sehemu mbalimbali za starehe pamoja,wanafanya project Pamoja! Mimi nahisi kizungu zungu mwenzenu!

who_iz_the_boss
Who else was talking?? Abi next tym u should learn how to watch n keep calm. My boss is too smart to play around. Thanks for ur time

dalalmwanamke
Diamond ukirudi kwa wema umelogwa tena alokuloga mifupa saiv loh! Huyu ndo wife sio material tuu bali materialization ana kila kitu kashulishuli anajitambua husemi ana shida ya pesa mmh mmmh kikubwa na point yng ya msingi ilipo ni #Hardworkerwoman soo pleeeez @zarithebosslady naomba utuokoleee huyu star wetu hope mkiwa nae atafikia anapowaza kila siku plz i berg you @zarithebosslady ntaliaaaaaaa

fruiternest
I am waiting to see this episode. Its ridiculous u never even post your husband .... ur rich , u lost my respect! No project ... this is scandal
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

35 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mbona kama mnyakuza?haya ngoja nikae nichek tu

    ReplyDelete
  2. Domo Ana bahati ya kunyakuwa warembo,penny,wema,hamisa,Vicky,rehema,woper,uwoya,meninah,hawa ninaowajua Mimi Na nisiowajua nao watakuwa warembo,Sasa ni zamu ya the boss lady Zari,siamini Kama Zari anaweza via nguo kwa Domo,u Neva know let's wait and see.

    ReplyDelete
  3. PESA ni sabuni ya roho ujue Zari ni mtu mzima?Ana above 35.mtoto wake Wa kwanza Ana 17,

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ushasema pesa nisabuni yaroho sasa kikushangazacho nini?mtumzima kazaa kijiji?hebu tuwekee mwili Wako hapa tukimbizane....hatakama anamtoto wa miaka 17 ndioyuko hivyo sasa compare yr self with her si vumbi tu ama kifo na usingizi.

      Delete
  4. Nashuku video imeanza....kawaida huanza hivi hivi

    ReplyDelete
  5. Hana lolote huyo Boss Lady anatafuta umaarufu tu huku Bongo kupitia kwa Diamond, amejaribu ajulikane kupitia media wee imeshindikana sasa kaamua kutumia njia ya mkato na amefanikiwa.Leo ataandikwa kwenye blogu zote badala ya moja anayoandikwaga kila siku, kesho mtamuona kwenye magazeti ya udaku. Akishapata analolitaka huyo Diamond atapigwa chini faster kama hamjui vile, tena wanawake wa Kiganda walivyo na madharau angalieni tu huyo Diamond asijechanganyikiwa.

    ReplyDelete
  6. Mwache dai aienjoy kwani Umri kitu gani?piga pumbu domooo nakuamini baba yake,penny kajipendekeza weeee movie ya wema imeisha,kakimbilia kwa Zari.kwi kwi kwi penny mdogo wako fanya yako ooohooo

    ReplyDelete
  7. haa mambo siku hizi kata mti panda ,mti mdogo wangu nakuamini wala wasikutiche hao shida mpaka kwenye kope. umeshakata mti panda huo mwengine wenye matunda .

    ReplyDelete
  8. wema kamuacha diamond kwasababu kampata kigogo ana mpa pesa kwa hiyo na yeye diamond katafuta sugar mami mwenye mapesa sasa mnataka amsubiri wema amaliziane na huyo mzee wake ndio arudi kwa diamond na ye diamond bado mdogo damu bado inachemka lazima na yeye atafute pa kupaki mzigo wake

    ReplyDelete
  9. www.simplykis.blogspot.co.uk

    ReplyDelete
  10. www.simplykis.blogspot.com

    ReplyDelete
  11. Huyu Zari mi nadhani atakuwa ameishiwa,we mwanamke above 35,una watoto wakubwaaa unaenda jidhalilisha kwa vijana Wa 25ywars?what a shame?

    ReplyDelete
  12. Nasikia mumewe ndo aliyekuwa anampa u bosslady sikuhizi kachoka,anajitutumua tu akija dar.

    ReplyDelete
  13. Hata Mimi Nimesikia siku hizi Zari Hana hela Kama alivyokuwa ndani ya ndoa,kwenye video ya wimbo mpya kawa video girl,what a shame,boss lady???????

    ReplyDelete
  14. Hivi huyu sugar mamy anakaa saa ngapi Na watoto kutwaaa kupiga mingle Na wanaume za watu.tangu aachike atulizi makalio kutwaaaa kiguu Na njia kaja kutafuta umaarufu Dar,kaona Uganda apewi Kiki .

    ReplyDelete
  15. Kikongwe anavulia watoto wadogo nguo,what a shame,first born wake kashabarehe Na sauti nzito mwanae anayo,asubiri wajukuu

    ReplyDelete
  16. Bado miaka miwili tu Zari agonge 40,bado anajifanya mtoto.sisi Baganda tunakujuwa sana,baada ya kufirisika kwa mumeo sass hivyi ni anafanya kazi ya Uganga south Africa,

    ReplyDelete
    Replies
    1. HAIKUHUSU,, WEWE MWENYE 15 MBONA UNAMAKUNYANZI,,HHHHHHHHHHH WABONGO BWANA

      Delete
  17. Huyu mama atakuwa ni kweli Hana soko Uganda,wewe unajiita boss lady halafu unakubali kuwa video girl Wa diamond,akiuza CD akukatie mkwanja,duuuu kubali tu umefilisika.usijitie u boss.Watoto wako wana hamu Na wewe kutwaa kupiga mingle.what a shame.

    ReplyDelete
  18. Dogo Diamond hana hiyana na uchi wa kike. Ukimtajia mwanamke fulani ni maarufu tu basi yeye atampanda mwanake huyo; picha hizo zinaonyesha kuwa huyo Zari sijui bosi wenu alishapandwa na prezidaa, na hiyo inaonekana wazi kisaikolojia kwenye hizo picha. Wanawake maarufu wa umri wake wote Tanzania kawapanda na sasa anakwenda majuu hata kwa waliomzidi umri bado wanalainika kwake. Maisha ni nyota; na ya huyu bwana inang'anra sana katika kila pembe. Mchukie mpende ni juu yako; nyota yake bado iko juu kwa kila jambo analogusa.

    ReplyDelete
  19. Jamani wenyewe washasema wanafanya kazi binadamu bwana!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Na wema?china?SI Domo alisema wanashoot movie?Domo ni Malaya hawezi kumuachia huyo sugarmammy bila kumpiga rungu.au Nyie ni wageni kwa Domo ?

      Delete
  20. Diamond alitamka Ana allegy Na kondom kwahiyo bosslady kapigwa rungu bila condom.huyu boss wenu ushuzi nasikia Hana kitu mume ndo alikuwa anampa jeuri ya PESA akija dar anajitutumua eti anahela Hana kitu,Dai nasikia anajitutumua kumuhonga,ili aendelee kumrusha roho wema,nasikia kafanya makusudi,du Afadhali Sasa hivi Wema ndo kamwaga Domo,

    ReplyDelete
  21. Ee Mungu nakuomba uruhusu magonjwa ya HIV yamuadhibu huyu naseeb Abdul ,atulie Jamani amezidisha Sasa

    ReplyDelete
  22. domo wagongeeeeee tuuuu, ndo wakati wako sasa, ilaaaa vaaaa ndomu!!!

    ReplyDelete
  23. Am out cna la kuxema maana mmexhaxema yote Diamond ulikofika c karibu take care Prezident do her respectively

    ReplyDelete
  24. She has nothing huyo Bosslady, ndio maana anakuja Dar wajinga wajinga wanalipa kiingilio waende wakamuone na yeye analipwa mkwanja wake anasepa. Inawezekana alishalambwa wakati alipokuja kipindi kile watu wakalipa kiingilio kwenda kumuona. Yaani mtu na pesa zako halafu ulipiwe kiingilio kama sinema kama sio kuishiwa ni kitu gani?

    Subiri hao Mapedeshee wamchukue huyo Bossylady muda si mrefu atabebwa kwa sababu Dai hajui kuhonga na bibie anasaka mkwanja.

    ReplyDelete
  25. Halafu yule Sintah ndio kuwadi wake nini? Maana kila akija Dar lazima Sintah amtangaze, naona mara ya mwisho alivyokuja sio watu wengi walishoboka kwenda kumuona, sasa hivi kaamua kuja kivingine.

    ReplyDelete
  26. Mtasema sanaaaa kafulia nyoko kibao,anaemfikia hapa kati yamnaosema hakuna pigeni chafya,tombokeni ILA kimaisha kashawazidi nampaka mumpate mnye hapa mpaka kigoma bilakupumzika wivu utawauwa.zari fanya unavyotaka kwaniwao nani wakuseme?domo nae bandua yoyote unaejisikia nimaisha yako.wabongo kaz yetu kuteta na kuchongoa,nakukosoa watizame wanaokosoa surazao zikija hapa hata watoto wanaokataa Kula watakula mana ni shoti.

    ReplyDelete
    Replies
    1. BAAMBIE BAAMBIE HAO BAJINGA WAFANYE KAZ NA WAO WAPATE UMBEA HAUNA POSHO

      Delete
  27. kasha fanya corrabo na wasanii wa bongo,na sasa amesha fanya corrabo nawasanii wa africa kijana anapanda tu harudi nyuma,na katika mapenzi kibongo bongo kesha wa pitia malaya kama wema sepetu,penny nawengineo wote kijana sasa acha avuke mipaka awafumue saa malaya wanaotamba africa,akibanda daraja zaidi atamchukua hadi wakina jennifa lopez, niomafanikio hayo ktk music na ngono maana alisema kazi na dawa

    ReplyDelete
    Replies
    1. NA WEWE UMEFUMULIWA NA NANI NA NANI,, MBONA HUSEMI WALE WAKO 58 WALIOKUFIRRA MZUUUUU....... HUNA JIPYA,, KUNYA ANYE KUKU AKINYA BATA KAHATA.. HATER WEWE..'MZZZZZZZUUUUUUUUFFF

      Delete
  28. mwacheni zari na miaka yake ahaiwahusu nyie wivu tuu, mbona hamsemi baba zenu wa kuwazaa wanavotoka na mahouse girl,, unyanyasaji kwa wanawake na udhalilishaj ushapitwa,, umri kitu gani,, acheni ujinga,,,dai na zari fanyeni yenu msijali umbea wa kibongo,, wenzenu wanasonga mbele nyie kutwa mboyoyo fanyeni kazi mpate na yie peasa wao tayari wanazo,,,umaskini unawasumbua ndo maana mnachonga sana,, na MUWAACHE WALALEEE

    ReplyDelete

Top Post Ad