Diamond Amwaga Ukweli 'Wema, Jokate, Penny Hawakutaka Kuzaa Na Mimi'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Akizungumza kwenye kipindi cha Live Chumba cha Habari kinachorushwa na Global TV online, Msanii wa muziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ alieleza jinsi wapenzi wake wazamani ambao ni Mwigizaji Wema Sepetu, Jokate Mwegelo na matangazaji Penniel Mungilwa ‘Penny’.

Diamond alifunguka baada ya kuulizwa kwamba amekuwa akitangaza kupenda watoto lakini kwa nini hana hata wa dawa licha ya kuwa na uhusiano  na wanawake tofoutitofauti.

Diamond: “Ni kweli napenda watoto lakini siwezi kupata mtoto peke yangu bila mwenzangu. Lazima kuwe na mwenzangu ambaye tutakubaliana.“Nilichojifunza ni kwamba wenzangu hawakuwa real (hawakumaanisha) hivyo wakawa wanachengachenga.”

Diamond aliendelea kueleza kuwa mwanadada Penny aliwahi kupata ujauzito wake mara mbili.

 “Ukweli Penny ningezaa naye, aliwahi kuniambia ana mimba yangu, sikuamini, nikampeleka hospitali kupima ikawa kweli. Kesho yake niikamnunulia gari, nikamwambia mama tulia. Siku mbili tatu akasema mimba imetoka.

“Nikaja nikamjaza kingine cha pili (mimba), nayo baada ya muda akaja kuniambia imetoka. Nikaona huyu mzinguaji, nikammwaga. Lakini iliniuma sana.“Kwa wengine (Jokate na Wema) walikuwa wakinichenga tu bila sababu, unamuona huyu hataki kubeba mimba yangu. Mtu kwa mdomo anasema kwamba yuko na wewe kikamilifu lakini kwa matendo unaona siye.

“Lakini kusema ukweli kabisa natamani sana kuwa na mtoto.
“Hapo juzikati nilitaka kuoa, kila kitu kilikuwa sawa, nikaja kubadili mawazo.”
Swali: ”Ulitaka kumuoa nani?”Diamond: “Ah! Siwezi kumsema hapa. Diamond alimaliza.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Alitaka kumuoa Ubaya Sepetuuuu!

    ReplyDelete
  2. dai tafuta mwanamke asiye maarufu umuoe sio hao hutawaweza na hawatatulia. tafuta mwanamke mwenye heshima zake hatulie home wewe ukiwa kazini. achana na watu maarifu hawawezi kuzaa hao kila siku wanataka usichana

    ReplyDelete
  3. Ukitaka mtoto funga ndoa kwanza, hakuna anayetaka kuzalishwa bila ndoa, unataka yamkute yaliyokukuta wewe kulelewa na mama pekee.......big NO!

    ReplyDelete
  4. Huyo nae hata sio muoaji ni mchafuzi tu, halafu anataka wamzalie.......wanawake wa leo HAWADANGANYIKI!

    ReplyDelete
  5. unatakatu kuacezea haunz czua walanini malayamkubwa kazi kuzi zini tu na wanawake

    ReplyDelete
  6. Diamond ukiwa serias na uoaji na kupata watoto huwezi kuwa unatafuta wanawake maarufu waliokwisha tembea na wanaume mbalimbali eti ndio ukawafanya wachumba, tena hadharani. Zari ni mwanamke aliyetembea na wanaume kibau sana tena akiwa ndani ya ndoa, kwa busara usingetaka kujihusisha sana naye kwa vile itakuwa ni label yako huko mbeleni. Wema, ameshawahi hata kuolewa na Jumbe, mwanamke huyo siyo wa kuoa. Wengine wote ninaosikia umetoka nao ni watu wa namna hiyo hiyo. Tafuta mwanamke asiyekuwa na jina kubwa na wala usikimbilie mwanamke mwenye biashara zake mpaka uwe na uhakika wa mtazamo wake kuhusu ndoa. Sasa hivi kwa Zarei umejikwaa; tutakusifu kuwa una demu mzuri lakini ndiyo hivyo. Kumbuka tena kuwa manii yenye nguvu kwa mwanamme ni yale yanayotoka mara tu akisha komaa. Iwapo utayakojoa hovyo hovyo sana basi baada ya muda utabaki na manii yasiyokuwa na nguvu kabisa.

    ReplyDelete
  7. Duh! Diamond hebu sasa tulia na ufanya ucaguzi wa hakika uliobora ukitaka kupata mwanamke wa kuishi nae usiwe na papara coz wanawake wa kizazi hiki wako kipesa zaidi hawana mda wa kuitwa mama, so bas kwa ushauri zaidi tuliza hakili yako na pia mwanamke staa sio ishu..........................

    ReplyDelete

Top Post Ad