Huyu Mpangaji Mpya Ananitakia Nini Mtoto wa Watu, Siwahi Ongea naye zaidi ya Salamu ila Mitego nayoipata Nakaribia Kunasa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jamani Mitego Mingine ni Shidah ..Kuna dada mpangaji mwezangu hapa kijitonyama amehamia kwenye hii nyumba week ya pili sasa , chumba chake na changu kipo karibu , toka amehamia hatujawahi ongea zaidi ya salamu ila mitego ya khanga ninayoipata mpaka nataka nimrushie maneno mawili matatu ila bado nimuonea haya..

Huyu Dada ni kama Amejua ratiba zangu basi kila asubuhi nikiwa natoka kwenda kazini lazima nimkute nje anafua ama anaosha vyombo kwenye karo akiwa ndani ya khanga moja tena ile nyepesi inayoonyesha mpaka nguo ya ndani..Vile vile jioni nikiwa narudi anajipitisha pitisha hapo nje weee...

Jamani Hii ni Kawaida kwa Wapangaji ama Ndo Naonyeshwa Green Light ?
~Kelvin

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Unauliza ndevu kwa Usama bin Laden!

    ReplyDelete
  2. piga huyo ana nyege

    ReplyDelete
  3. Hiyo sinyavu tena nahisi ni Jarife hilo ,linazowa zowa kila kitu

    ReplyDelete

Top Post Ad