Idris Mshindi wa Big Brother Afunguka Kuhusu Uhusiano Wake na Lulu Michael Baada ya Mitandao Kumponda Lulu Kuwa Anajipendekeza

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Stori: Imelda Mtema
KWA mara ya kwanza baada ya kutua Bongo, Mshindi wa Shindano la Big Brother Hotshort (2014), Idris Sultan amemfungukia mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ na kudai ni rafiki yake wa karibu.

Kabla mshindi huyo hajakanyaga Bongo, Lulu alishambuliwa mitandaoni baada ya kujinadi kuwa na urafiki wa karibu na Idris lakini kwa kauli hiyo, imeonesha dhahiri wawili hao ni marafiki wa kweli tofauti na mitazamo ya wadau mitandaoni.

“Lulu ni rafiki yangu wa muda mrefu, hakuna kingine zaidi ya urafiki. Tutaendelea kuwa marafiki hata baada ya ushindi huu,” alisema Idris, juzi alipokuwa kwenye mkutano wa waandishi wa habari kwenye Hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam (The Kilimanjaro)
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Bibie kajilengesha na jamaa anataka kufanya kweli! Chezea opportunities weye

    ReplyDelete
  2. mimi naona mnapiga kelele tu idris anatoka na demu mmoja anitwa vanessa mawalla .

    ReplyDelete
  3. ndokiivyo sasa kazipata atamtupa yule wazaman wakati yupo naye alivyokuwa kwenye kaz yake yakupiga picha sasaiv atajifanya staa atak cha zaman anazingua et atak mpenz uzush tutaona ela za bba niwiz mtupu zitaisha utakaa kimya mpe mama yako akusaidie vinginevyo kwishne idrisa utakuwa kimya kama wenzako

    ReplyDelete

Top Post Ad