JOHARI Apata wa Kumfungua Kizazi...Wacha Movie Iendelee

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MAPENZINI: Swala la mapenzi ni jambo binafsi, lakini linapokuja kwa watu mastaa huwa lazima lilete stori.Leo nimetua kwa mwigizaji nguli na mahili wa filamu hapa Bongo, Blandina Chagula “JOHARI”.

Ni muda mrefu sasa tangu aachane na aliekuwa mpenzi wake  wa siri Vicent Kigosi “Ray” ambae pia ni mwigizaji na muongozaji wa filamu, mwana dada Johari kwa mara ya pili sasa ametokelezea akiwa na jamaa mwingine ambae amezua maswali mengi bila majibu kutoka kwa Johari mwenye.

KIVIPI?

Takribani miezi kadhaa iliyopita Johari kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram, aliweka picha hio hapo juu na kuandika “Washa Movie iendelee” kwa wapenzi wa habari za UBUYU hapa mtakuwa  mlimsoma vyema  dada yetu. Hii ilizua mjadala miongoni mwa mashabiki wake  huku wengine wakisema huyu jamaa ndio kachukua nafasi ya kaka yetu Ray wakati wengine wakisema anafanya hivyo ili kumrusha roho Ray ambae kwa wakati huo penzi lake na Chuchu Hans ilikuwa jipya na motomoto. Mbali na comment nyingi kumtaka Johari afunguke, bado Johari alipiga kimya. Mzee wa Ubuyu namimi nikawa kama vile nimeipotezea movie hii.

Kilichokuja na kunifanya niikumbuke movie ni hivi majuzi  kuweka picha tena akiwa na jamaa huyo wakiwa kwenye sherehe ya harusi na bila kuandika chochote, kwamaana nyingine aliwachia mashabiki wajiongeze wenyewe...sasa comment zaidi ya asilimia 70 zilikuwa zisomeka, Shemejiiii, mnaendanaaa mara ooh...safi sana.....Ilimradi kila mtu aliandika kile nachojisikia, Johari hakujibu kitu ila wengi waliamni kuwa hapa kuna jamboo na watu kuwa wapo penzini.

Namimi  mzee wa ubuyu nikaonasiombaya nikuletee hii movie ili nawe uone na uiache iendelee.

Na: Mzee wa Ubuyu.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad