Penny: Natamani Mtoto lakini sina wa Kuzaa nae

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Aliyekuwa mpenzi wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ Penniel Mwingilwa amesema sasa anatamani kuzaa lakini tatizo lipo kwa mwanaume wa kuzaa naye.

Penny alitoa tamko hilo baada ya Diamond kunukuliwa jana (Alhamisi) na gazeti la Amani kuwa, alimpa mimba mara mbili binti huyo lakini zikayeyuka katika mazingira ya kutatanisha.

Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni Penny alisema, sasa hivi anapomuona mtoto anachanganyikiwa na kujikuta akitamani naye kuitwa mama hivyo akimpata mwanaume sahihi wa kutimiza ndoto yake hiyo hatafanya ajizi

Kiukweli sasa ndiyo ule wakati wa kuzaa, natamani sana mtoto lakini sasa wa kuzaa naye yuko wapi? Hapo ndiyo tatizo maana siyo kuzaa na mtu ili mradi mtoto awe na baba,” alisema Penny.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hebu wacha unafiki wako hapa, kwanza TUBU ile dhambi ya kutoa mimba 2 za Domo ndipo uombe mtoto mwingine, pengine mayai yenyewe yalikuwa ni yale mawili tu uliyotoa, yaliyobaki yote ni VIZA, litakuchwea!

    ReplyDelete

Top Post Ad