Shocking:Aliyekuwa Mke wa Mbunge Mh. Sugu Faiza Ally Atoa Mpya..Avaa Pampers Siku ya Sikukuu ya Kuzaliwa Kwake na Kutinga Ukumbini

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Wanasema ukishangaa ya Musa utayaona ya firauni. Katika hali isiyo ya kawaida, mchumba wa zamani wa mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu, Faiza Ally, amesherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kuvaa diapers!!

Sherehe hiyo ilifanyika juzi kwenye hoteli ya Seacliff na kuhudhuriwa na wageni kibao. Je ni sawa?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hii ni sheeeeeeedah. Kwa hili huyu mdada hajatulia na ndo maana Mheshimiwa aliamua kuachia ngazi. Anadhalilisha utu wake na wa wanawake wenzake.

    ReplyDelete
  2. WATOTO WANAVAA PAMPAS NA BUCTA OR SKIRT,SASA HUYU CHIZI SIJUI KAIBUKIA WAPII,HOVYOOOOOOOOOOOOO!NDO MANA MHESHIMIWA ALIMKIMBIA I THINK KUNA PROBLEMAAAAAAAAAAA

    ReplyDelete
  3. Sio sawa, ameshachuja sasa anatafuta pa kutokea. Naona anatakiwa kupimwa kama yuko sawa

    ReplyDelete
  4. ANATAFUTA U STAR KWA NGUVU!! KWANI HATA WATOTO HUWA WANAVALISHWA PAMPAS BILA KITU CHOCHOTE????? HA HA HA UMECHEMSHA FAIZA TAFUTA GIA NYINGINE YA KUTOKEA

    ReplyDelete
  5. how cn a person do dat, especially a mother.....seriously!!!!!

    ReplyDelete
  6. DAH SUGU ULIKUWA NA HAKI YA KUMTEMA HAFAI HIVI UTATKUJA KUWAONYESHA WATOTO WAKO UCHAFU HUU!! HUFAI KABISA WEWE

    ReplyDelete
  7. hivi baba yako na mama yako na kaka za na dada zako na wajomba zako na shangazi zako UNAWAANGALIAJE?? na nyie marafiki zake hamfai kabisa!!!

    ReplyDelete
  8. Hapo umechemsha!!!!

    ReplyDelete
  9. Huyu dada siyo bure anamatatizo siyo bure na shida hii inawasumbua madadca wengi wanao jifanya wa mjini,ujanja unapita viwango wanajikuta wanafanya mambo ya ajabu ajabu........
    Baada ya hapo heshima na hadhi yake itashuka anaenda kutafuta watoto mana mtu mzima mwenye akili zake hawezi kukubali ujinga huo.

    ReplyDelete

Top Post Ad