Video ya Zari The Boss Lady Akijishebedua Baada ya Kumwona Diamond Platnumz Iko Hapa.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Wakati siku ya Jana msanii Diamond Platnumz yuko ndani ya Uganda kwa ajili ya show ya Zari the bos lady kutoka Uganda, mapokezi yake yalikuwa ya laana, licha ya magari lakin hiyo furaha aliyokuwepo nayo zari ilikuwa imepitiliza yani mpka mwenyewe alikiri lakini story zikawa zinavuma kwenye blogs facebook na twitter lakin hukufanikiwa kuona video nimekuwekea hapa video


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Replies
    1. mmh,wakati wengine wanaomba Mungu uishe wao wanagawana na kuusambaza.mweeeeee!

      Delete
  2. JAMANI ACHANE WALI NCHI MUNGU AWAPE NINI ?? MAWIVU YENU TU KUJISHEBEDUA NDIO NINI ??? MLITAKA AFANYAJE?? DIAMOND WEE JILIE WAACHE WASEMA TU. MIYE NAKUPA TANO UMEBAMBA!!!

    ReplyDelete
  3. Kwaninu lazima wema kuwa na diamond wanaume tele pengine kuachana na diamond mwenyezimungu atamfunguliya rizki yeye mwenyewe ata jutiya kwanini kapoteza wakati wake ikiwa mtuu na mke wake wana achana na watoti wamezaliwa ndani itakuwa yeye haja acha mtoto wema chukuwa time yako na diamond achukuwe yake

    ReplyDelete
  4. Afanye wema ni sawa akifanya diamond ana muumiza wema
    Kisha si wema mwenyewe katangaza kuqa amembwaga diamond baada ya kupewa zawadi nzito siku ya bath day na safari kwenda hongkong na mama wema kafanya part kubwa kuona mwanaye kambwaga diamond na ndiyo ilukuwa dua kubwa ya mama wema sasa maneno ya nini kila mmoja achukuwe time yake amwache mtoto wa tandale atafute nayeye tandales girl

    ReplyDelete

Top Post Ad