Wema Sepetu Amfuata Diamond Platnumz Kampala Uganda...Je Wawili Hawa Wanafuatana au Wanarushana Roho?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Usiku wa juzi tarehe 18, jiji la Kampala nchini Uganda lilipambwa na “EVENTS” mbili mkubwa kwenye upande wa buruani ambazo ni Show kubwa ya mwnamziki Jose Chameleone iliyofahamika kama  1Man Show Million na Pati ya mwanamama Zari iliyofahamika kama Zari All White Ciroc Party.

Mwigizaji Wema Sepetu na mwanamziki Diamond Platnumuz wote walitua nchi humo na kugawana  matukio hayo kama ifuatavyo;

Wema Sepetu ambae anadai ni amekuwa shabiki mkubwa wa masanii Jose Chameleone alitokea nchini Ghana na kutua jijini Kampala kuhudhuria show ya mwanana mziku huyo ambayo ilifanyika Serena Hotel.

Wakati Diamond Platnumz ambae kwasasa ana “Le Project” na mwanamama Zari alihudhulia pati ya Zari kama “Special Guest”.

Baadhi ya watu wamechukulia kitendo hiki ni kama mwanadada Wema “Amepaniki” hivi, Huku wengine wakisema kuwa Wema ana uhuru wakufanya kile anachokitaka bila ya kuhofia watu watasemaje.

Jambo hili halijatokea kwa bahati mbaya kwani wiki kadhaa zilizopita, Diamond alipoonyesha kum-support Zari kwenye pati yake,Wema nae alibuka na kum-support Jose. Kama unavyoona hapa chini.
Maoni yako tafadhari, Je wawili hawa wanatafutana au wanarushana roho?!!
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. HAKUNA CHA WEMA KUWA UGANDA NI UONGO MTUPU!!!HAMNA KAZI YA KUFANYA???

    ReplyDelete
  2. Wema anajielewa na anajua anachofanya, hajamfata diamond, wema ndio aliyemuacha diamond so amfate kwa lipi?

    ReplyDelete
  3. Onesha picha ya Wema akiwa Uganda, muongo mkubwa wewe

    ReplyDelete

Top Post Ad