Wema Sepetu Ampongeza Jokate Kwa Hatua Aliyofikia Kibiashara..ila Kasema Bado Anamnunia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mastaa mbalimbali wamajitokeza na kumponzea mwanadada Jokate Mwegelo kwakuweza kupambana na kufanikiwa kuingia mkataba na kampuni kutoka China , kwaajili ya kutengeneza vitu mbalimbali kama nywele, viatu, na nk ,kupitia kampuni yake ya KIDOTI.

Mwigizaji Wema Sepetu nae haukuwa nyuma kwani jana kupitia mtandaoni alimpongeza mwanadada Jokate kwa hatua aliyofikia na akasema hii ni kama changamoto kwa kila kijana na kumtakia mafanikia zaidi kwa mwaka ujao.Mwishoni akamalizia na kautani kidogo kuwa ataendelea tu kumnunia.....

Way to go baby girl.... Wat can I say..., Im more dan proud... Let this be a challenge to every youth.... Yes it is possible.... Mi nathubutu kusema Umetisherrr... #Hatari #SayGoodbyeTo2014 .... 2015 is mos def a good year for u.... @jokatem @jokatem @jokatem @jokatem ...
usidhani bado sijakununia.... hii ni post tu ila mnuno unaendelea....

Hiki ndicho alichokisema Wema.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mnunaji hatangazi utaona kimya tu na domo refuuuu kama chuchunge! Hongereni 'wenza'.........

    ReplyDelete

Top Post Ad