Aunty Ezekiel na Moses Iyobo waweka wazi penzi lao sasa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Staa wa Bongo Movie,Aunty Ezekiel amedhihirisha penzi lake na dansa wa msanii Diamond Platinumz,Mose Iyobo baada ya picha yao wakiwa wamekaa kimahaba iliyosambaa mtandaoni

Mara kadhaa msanii huyo wa Bongo Movie amekuwa akikana kuwa hana uhusiano na dansa huyo na kutoweka wazi mhusika wa ujauzito wake hivyo picha hiyo imeonyesha kuwa Mose Iyobo kuwa ni mhusika wa ujauzito huo.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. May be we shouldn't judge!

    ReplyDelete
  2. MMMM MAMBO YA NGOSWE HAYO!

    ReplyDelete
  3. Kwani ndoa yako imevunjika jamani ? mbona hivi ?

    ReplyDelete
  4. Hajatulia kabisa huyu dada,mweeeeeeeh.

    ReplyDelete
  5. Kama kawa huanza ni project alafu inatokelezea the Big project.

    ReplyDelete
  6. Mezeni mate msiteme

    ReplyDelete
  7. Mezeni mate msiteme

    ReplyDelete
  8. Si mnamtukana zari malaya zari sasa hivi hana mume jeee super star wenu Aunty shoga ake madam ni nini amefanya na yeye yupo kwenye ndoa na anaza na mwana ume asiye kuwa ni mume wake

    ReplyDelete
  9. NA HUYO IYOBO ANAKAZI KWELI MIMBA SIO YAKE ANATAKA SIFA TU AU AMEPEWA MSHIKO ANA MHESHIMIWA ILI AJIFANYE YAKE MWACHE ANTI ABEBE YAKE NA HUYO MHESHIMIWA PENDAPENDA MAMISS

    ReplyDelete
  10. MEZA MATE MIMBA YA MAREKANI HIYOOOOO, IMEPANDIWA NDEGE HIYO JAMANI

    ReplyDelete
  11. IYOBO YATAKUTOKEA PUANI HAYO, NA MWISHO WA UONGO NIA AIBU

    ReplyDelete
  12. ponda raha kifo cha jaja,,kwani mashoga hawazai???mie sipo langu jicho tu...mambo ya ngoso muachie ngoso.

    ReplyDelete
  13. HIYO MIMBA YA LAZALO NYALANDU HUYO DOGO YUKO LOCATION MOVE INAENDELEA...

    ReplyDelete
  14. KWANI SHOSTI YAKE AAAAAANT EEEEEEEEEEEEZKIYA ANAYEKWENDA KWA JINA LA UWEMA SI UPETU SI ATUMWAGIEEEEEE HAYO MANYETI?JAMANI ACHENI UMBEYAAAAAAAA KWANI MLIAMBIWA AUNTTTTTTIIIIIIIIIII HAWEZ KUZAAAAAAAAAAA?KWANZA KAPIMA KIPIMO KIKUBWA

    ReplyDelete

Top Post Ad