Demu wa Kenya Tiara Arudi Tena, Atuma Video Nyingine kwa Diamond Akiwa Anaoga na Kusema Yupo Tayari Kufanya Nae Project

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kuwa Staa Raha Sana: Baada ya Diamond Kutumiwa Video na Mrembo wa Kenya akimtaka Amchukukue yeye bila Malipo huku akijichezesha kwa kimahaba kwenye hiyo video, Diamond inaonekana hakupata Ujumbe wa kwanza sawa sawa , sasa Mrembo amerudi tena na kali zaidi ya ile , Mrembo huyo ajulikanae kama Tiara Ameitumia Udaku specially Video Hiyo akiwa bafuni akioga huku wimbo wa Bebe Cool unaitwa i will love you everyday ukilia kwa nyuma ili Diamond Amuone Vizuri kwani ile Video ya Mwanzo ilikuwa na Giza...

Mrembo huyo pia amesema yeye ni Mwanamuzi na Angependa kufanya Project na Diamond Platunumz
Jionee mwenyewe hapa mimi Sina Mengi :
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mmmmmh! D Ana kazi kila mtu anataka kujipaisha kupiitia kina lake! Yani tuseme east Africa yote huko Uganda wanaojifanya marich gang wakina king wanamchokonoa Ili ajibu wapate umaarufu.haya huyu naye sijui nani wa Kenya anajidhalilisha Ili apate antention.Huku Bongo nako watu wanataka kuwa juu kimuziki wanamtumia Dai kujipaisha Dogo Ana kazi. inabidi awe na moyo wa chuma looh.

    ReplyDelete
  2. Kazi kweli kweli.....Mh!

    ReplyDelete
  3. Aisee!! Watu wako tayari Kufa ilimuradi tu wapate kikii.

    ReplyDelete

Top Post Ad