Diamond Akataa Milioni Mia Tano za Lowassa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Duuh Hayo sio Maneno yangu Jamani , Gazeti la visa limeandika katika ukurasa wa mbele maneno hayo kama inavyoonyesha

Limeandika "Wakati wanamuziki wenzake wakilia njaa na kuoza kwa unga , Diamond akataa 500 Mil za Lowassa, Aambiwa ni Pesa Maalum kwa kazi Maalum na atakuwa Maalum 2015,
Naye Ajibu : Hizo Pesa peleka makanisani , misikitini ..Inatosha sana"



-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hapo domo nakupa BIG UP!!! usikubali pesa chafu

    ReplyDelete
  2. hahhahahhahahhaahahhahahah akampe Feruzi avutie Bangi

    ReplyDelete
  3. UONGO MTUPU LOWASA HANA PESA ZA KUCHEZEA KIIVO MNAMPAKA MATOPE TU. KAMA ZINGIKUWEPO DIAMOND HANA JEURI YA KUZIKATAAA. NANI ANAKATAA PESA???????????

    ReplyDelete
  4. JAMANI HAO VISA WANAUZA GAZETI TU HAKUNA UKWELI WOWOTE HAPO!!!!!!!

    ReplyDelete
  5. HAMNA LOLOTE HAPO HAO VISA WAMETUMWA NA WANAOTAKA KUMCHAFUA LOWASSA WA WATU NA MSHINDWE MMMFYUUUUUUUUUUU

    ReplyDelete
  6. HIYO NI BIASHARA YA GAZETI TU NA KUCHAFUANA, KWA TANZANIA HAIWEZEKANI DAIMOND KUKATAA PESA NI KUCHAFUANA TU.

    ReplyDelete

Top Post Ad