Diamond Atoa Wimbo Mpya wa Mduara-Nasema na Wewe..Download Hapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Sasa ni zamu ya Mduara ,Mwanamuzi Diamond Platnumz ameamua kuwakata kiu wapenzi wa Mduara kwa kuachia wimbo mkali unaoitwa Nasema Nawee ambao upo katika mirindimo ya kimwambao zaidi..
Sina mengi ya kuongea kama ila embu bonyeza hapo chini uweze kupata uhundo huo mtamu kutoka kwa mkali Dangote...

Bonyeza <HAPA> Ukitaka Kuusikiliza ama Kudownload---
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hata sikutaka kumalizia kusikiliza, sipendi mduara so kwangu is the bad song from you I ever heared from you!

    ReplyDelete
    Replies
    1. It sounds better to say you heard than heared.

      Delete
  2. SIPENDI MDUARA KABISA!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  3. sina muda wa kuslikiza mduara

    ReplyDelete
  4. NILITEGEMEA UNGESHIRIKIANA NA VIJANA WENZAKO KUHAKIKISHA KUWA UMOJA NA MSHIKAMANO WA VIJANA UNAIMARIKA KATIKA KIPINDI CHA MPITO KUMPATA RAIS MPYA LAKINI SIKUONA UKIUNGWA MKONO NA VIJANA AMBAO NI WAPIGA KURA WA UCHAGUZI UJAO WA 2015 ,KUPOKEA RUSHWA YA TSHS MILIONI 50 ILI UKASHEREHESHE SHEREHE ZA CCM ZILIZOKOSA UWAKILISHI WA VIJANA WA MIKOA YOTE HAPO USITEGEMEE UTAPATA USHIRIKIANO WAO KAPTAIN KOMBA YEYE ANAJUA ANACHOFANYA HAYUMBISHWI

    ReplyDelete
    Replies
    1. acheni maneno yenu hayo ni maneno ya wakosaji pumbavu zenu

      Delete

Top Post Ad