Huyu ndie Star Mtanzania Aishie South Afrika Anayetoka na Wema Sepetu kwa Sasa….Wema Afunguka

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nimekuwekea hapa U Heard ya leo January 20, story ya leo ni kuhusu tetesi kuwa mwigizaji Wema Sepetu baada ya kuachana na Diamond Platnumz kwa sasa ana uhusiano na mwanamitindo Mtanzania anayefanya kazi zake Afrika Kusini,  Ally Daxx.

Gossip Cop alimtafuta Wema na kumuuliza kuhusu story hiyo kama kuna ukweli wowote, Wema amekataa kuwa na uhusiano na mwanamitindo huyo.
Bonyeza play kuisikiliza  U Heard yote hapa mtu wangu.

Quote of The Day:

 When you wake up every day, you have two choices. You can either be positive or negative; an optimist or a pessimist. I choose to be an optimist. It's all a matter of perspective.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Eeeh na kingkessy wameachana?

    ReplyDelete
  2. mmm na nyie ndo kumpaisha wema au??? ally kama unatoka na wema utashangaza sana!!!

    ReplyDelete
  3. WEMA ANAMTISHIA DIAMOND NYAU!!!!

    ReplyDelete
  4. Hivi mtu kama huyo ambaye inasemekana ndio Supa Staa wa Bongo na pia ndio kioo cha jamii ana uongeaji wa namna hiyo ambao ni uongeaji wa kizembe vipi kuhusu hao walio nyuma yake?? Si ndio shida kabisa Dah!! Kweli ma model wa Tanzania kiboko......

    ReplyDelete

Top Post Ad