Lazaro Nyalandu na Aunt Ezekiel Wachanwa Bungeni Kuhusu Safari ya Kwenda Kutangaza Utalii

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jana wakati mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema , akichangia  hoja Bungeni nakudai kuwa mawaziri wengi  hawana ubunifu nakumrushia “bomu”  Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu kuwa anazunguka nje ya nchi na msichana kwa madai ya kutangaza utalii.

Lema alisema;



“Angalia Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu alikwenda kutangaza utalii nje ya nchi akiwa ameongozana na (mwigizaji maarufu wa filamu wa Tanzania) Anti Ezekiel,” alisema na kuongeza kuwa waziri huyo hashindi ofisini kwa kisingizio cha kutangaza utalii.

Picha za wawili hawa wakiwa nchini Marekani  wakitangaza utalii zilisambaa sana mtandaoni mwaka jana na kizua stori nyingi juu kile kilichofanyika.

Picha : Waziri Nyalandu akiwana Aunty Ezekiel pamoja na DJ Luke (wakatikati) wakitangaza Utalii, New York, Marekani.

Lakini hivi kuna ubaya gani Staa wetu kushirikiana na waziri katika kutangaza UTALIIII?!!!!
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

21 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huhuuuuuuuu. Eti wanatangaza utalii mweeeeee!!!!!

    ReplyDelete
  2. Aunt Ezekiel anaitangazaje Nchi katika suala utalii?????? Mbona fani yake ya uigizaji na utalii haviendani???? Kwa kweli vitu vingine ni so vichekesho.

    ReplyDelete
  3. HATA MIMBA YA AUNT NI YA WAZIRI NYARANDU

    ReplyDelete
  4. Ni uzinzi tu walienda kufanya! Ni utalii gani huyo Malaya kaenda kutangaza na kijigauni alichovaa kinatangaza nn kuhusu nchi yetu!!! Walienda kubebeshana mimba tu kwa kutumia pesa za walipa kodi.kodi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwa kweli hata mimi huo muonekano sidhani kama ni wa kutangaza utaliii wa Tanzania! Ni kichefuchefu!

      Delete
  5. Wanagawana virusi tu,hakuna cha utalii wala nini hapo,

    ReplyDelete
  6. kapendeza mwenyewe mdogo wangu, mnamuonea wivu tu, kasimama na waziri bongo bwana, mtake mistake inabidi mumkubali super star wenu aunt Ezekiel, mzurije mwenyewe,

    ReplyDelete
  7. Mh kaz kwako faraja

    ReplyDelete
  8. Mhhhhh hayaaa. Kazi kwako faraja

    ReplyDelete
  9. Arafu mtu kama huyu, Nyarandu eti nae anataka uraisi, na mtu unapoteza muda wako kwa kumpigia kula, laaa!!!! mambo yenyewe ndio kama hivi, hela za walipa kodi sie zinatumika kibnafsi tena kwa uzinzi, hiii Tanzania hatari, umasikini hatoisha, katika hizo sekta za Elimu, Afya, na miundo mbinu yote, sasa hela zenyewe, hizo hizo zitumike kwa starehe, ufisadi sasa kuna kitu hapo kweli, si itabaki mnyonge mnyongeni

    ReplyDelete
  10. MTU ameshindwa kutangaza utalii wa ndani ya ndoa yake! Aweze kutangaza utalii wa nchi?? Labda alienda kutangaza alivyo malaya wa kimataifa na kubeba mimba na huyo nyarandu. Miss utalii kazi yake ni nini?? Hapo alipocmama utajua ametokea nchi gani na ako kajichupi alichovaa?? Atumchukii bali matendo yao na huyo nyarandu wao ni kioo cha jamii, sasa nini tujifunze kubebeshana mimba nje ya ndoa zao?? Ujinga mtupu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hivi kweli unasimama jukwaani na m2 aliyevaa nusu uchi unasema unatangaza utalii? Ina maaana wa TZ ndo tulivyo? Sioni chochote cha kitanzania ktk huyo malaya! Ametudhalilisha sana.! Nyambaf..

      Delete
  11. KHA MAKUBWA !!!! POLE FARAJA NINI NI MKE MWEMA !!!

    ReplyDelete
  12. Kama ni utangazaji WA namna du .kodi zetu tu zinaliwa

    ReplyDelete
  13. bahati yake jamani

    ReplyDelete
  14. achene wivu onyesheni miguu yenu hapa ka si fito aunty katokelezea na mwenyezi mungu kamjalia

    ReplyDelete
  15. Hivi kutangaza utalii kumekua kuonyesha miguuee?!! Mtu hata life span ya sungura hajui atatangaza utalii gani yeye Anti hata Momela hajui utalii gani atatangaza? asiseme utalii aseme kingine.

    ReplyDelete
  16. utalii???? hahaha dang bitle nini? Anti jibu swali

    ReplyDelete
  17. Hata angewachukua Wamasai na nguo zao za kitamaduni labda ningemuelewa ila hapa nasema laa!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. KWELI KABISA BORA UNGEWACHUA WAMASAI !!

      Delete

Top Post Ad