Msimamo wa Serikali: CUF inatafuta Umaarufu wa Kisiasa, Walikaidi Amri na ndo maana Wakapigwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Akifafanua Bungeni kuhusu CUF kupigwa na Polisi, Waziri wa Mambo ya Ndani Mathias Chikawe amesema Chama cha CUF kilitimiza masharti yote lakini polisi ina haki ya kuzuia endapo itajiridhisha kuwa kuna uvunjifu wa amani.
 
Chikawe amesema CUF wakiongozwa na kiongozi wao walikaidi amri ya polisi, na ndiyo maana walipigwa.
 
Pia ameongeza kuwa CUF inatafuta umaarufu wa kisiasa na huruma ya wananchi.
 
"Jeshi la polisi halitamuogopa,kumhofia mtu,ninawaagiza polisi nchini kote kufanya kazi yao bila hofu wala kumuogopa mtu"- Chikawe
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tanzania tunaenda pabaya. Kibao kikibadilika wataonja fimbo nao kama wanavyowafanyia wenzao. Pole Mh. Lipumba.

    ReplyDelete
  2. Hivi walikuwa wanaadhimisha kitu gani cha kupendeza kukumbushia watu waliokufa wakikaidi utii wa sheria bila shurti

    ReplyDelete

Top Post Ad