Nimekuwekea Video ya dakika 10 ya Kipigo kizito Alichopewa Lipumba na Wanachama wa CUF

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hii  ni  Video  ya  kichapo  kizito  toka  kwa  polisi  walichopewa  wanachama  wa  CUF  wakati  wa maandamano  yalioyoongozwa  na  Mwenyekiti  wa  chama  hicho, Profesa  Ibrahim  Lipumba.


-----------------
 Peace cannot be kept by force; it can only be achieved by understanding.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jamani hvi hii ni TANZANIA au? Maana ubinafsi unazidi! Hali ya xx ni mbaya

    ReplyDelete
  2. Ee Mungu ibariki TANZANIA

    ReplyDelete
  3. EE Mungu ibariki TANZANIA

    ReplyDelete
  4. Ni udhalilishaji wa hali ya juu sijui nchi yetu inaelekea wapi kwa kweli!

    ReplyDelete
  5. kama
    kuna
    mtu
    anae
    anitumie
    kwenye
    wasup

    ReplyDelete
    Replies
    1. POLISI MNASHINDWA KUPIGA MAJAMBAZI WANAOVAMIA VITUO VYA POLISI NA KUWANYANG`ANYA SILAHA MNAKUJA KUPIGA RAIA WAISIOKUA NA SILAHA

      Delete
  6. kama
    kuna
    mtu
    anae
    anitumie
    kwenye
    wasup

    ReplyDelete
  7. Hii yote ni Dhiki, Njaa, ndio maana imekuwa siasa ni kimbilio, hakuna hata mmja anaejua wajibu wake nini? si police wala hao wengine hizi nchi zetu zinazojita masikini ni shidaa tu, umasikini ni wa kujitakia kwa ajili ya kukosa, ujuzi na maalifa, na kutotumia akili tulizopewa, Yaani bara hili na Tanzania kiujumla hmmm tunatia aibu,

    ReplyDelete
  8. Hii ni aibu kwa jeshi la police, wana behave km uneducated kabisa. Hakukuwa na sababu ya wao kutumia nguvu.
    inaonekana walikuwa wanajadiliana khs uhalali wa mkutano, ila ni km kuna amri imetolewa washambuliwe Bila kujali.
    Kikwete ukitakiwa ukemee haya na uwawajibishe wote, kimya chako kinaashiria hayo mashambulizi mmeyapanga

    ReplyDelete
  9. Hapa hapaelewek mpaka viongoz WA juu wafe kwanza ndio kitaeleweka

    ReplyDelete
  10. Wapigwe tuu kama hawataki kufata taratibu za nchi wacha wale mkong'oto na tena hivi sasa tunajiandaa kwa uchaguzi leteni upuuzi mpigwe tuu!

    ReplyDelete
  11. VOICE OF AMERICA wanafiki wakubwa walikuwepo waandamaji wakijita wall street activists walikunhutwa Enzi za OBAMA ila huku AFRIKA wanajidai uchochezi waulizeni JOUNALISTS WA AL JAZEERA walivyoshughulikiwa MISRI uhuru bia nidhamu ni wendawazimu

    ReplyDelete
  12. VIDEO SI HOJA MBONA IKO VIDEO YA MWANANCHI ALIYECHINJWA HUKU AKISALIWA KAMA ASALIWAVYO NGOMBE AU MBUZI KULE SOMALIA UVUNJIFU MKUBWA WA HAKI ZA BINADAMU ULIOKUWA UMEFANYWA NA AL SHABAB WAZUNGU HAWAKULAANI WAKIFIKIRI ALIYEKUFA NI MWAFRIKA LEO WAISLAM WENYE IMANI KALI ISIL INAWACHINJA WAZUNGU WAZUNGU WANAAMKA NA KULAANI IKUMBUKWE UGAIDI HAUNA MIPAKA

    ReplyDelete

Top Post Ad