Shilole Aomba Radhi kwa Kumdunda Nuh Mziwanda Asema 'Naamini Nuhu ni Mwanaume Sahihi Kwangu Hawezi Hata Kurusha Ngumi'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya kuzuka tetesi kuwa alimdunda vibao mchumba wake Nuh Mziwanda, Shilole amelazimika kuomba radhi.

Shilole amewaomba radhi mashabiki wake kwenye mtandao wa Instagram kwa kupost picha akiwa na mpenzi wake huyo na kuandika:

“Huyu hapa mjanja wangu mimi, daah nimekamatika hapa, na naamini ni mwanaume sahihi kwangu maana hawezagi kurusha hata ngumi japo namchokozaga mie mjeuri tu, mnao muhandama mme wangu mmeshindwa, kugombana ni kawaida sana kwenye mapenzi na kama nliwaudhi mashabiki wangu mnisamehe mie nampenda mme wangu.”

Naye Nuh Mziwanda aliandika:

Mwanaume lijali aliekamilika ampigi mpenzi wake wala kurudishia kibao au kofi alilopigwa na mpenzi wake.naamini kwenye mapenzi ya kweli wivu lazima na kugombana kwenye mapenzi ni kama kwenda chooni ni swala la kawaida sana.aaaaaaaya mke wangu nimekup rukhsa nipige mpaka nikome.ila all i know its love dats it.Nawapenda Mashabiki wangu pamoja sana .#zimaTaa sie tayar

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nuhu nimekukubali, Mie mwanaume wa kunipiga hata simtaki jamani.....na kwa sisi wanawake ugomvi ndio jadi yetu. Tunachokoza tukipigwa sie tunakimbilia polisi hahahahaaaa. Pendaneni Milele hadi tuwakomeeeeee. Tumezidi umbea loh....Maana nimeamka asubuhi cha kwanza kuchokorachokora nijue kilichoendelea loh, nimeshushukaaaaa. Mupendane Tukome Umbea

    ReplyDelete

Top Post Ad