Sista wa Kanisa la Roman Katoliki Ajifungua Mtoto wa Kiume

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Utata umeibuka  baada ya sister wa Kanisa Katoliki huko Italy aliyekuwa akilalamikia maumivu ya tumbo na kukimbizwa Hospitali na kujifungua mtoto wa kiume licha ya kuishi katika Jumuiya hiyo ya wanawake watupu.

Sister huyo  mwenye umri wa miaka 31 yupo kwenye kikundi cha masista cha Santa Chiara Italy, asili yake ni Amerika ya Kusini, alilalamikia maumivu makali  ya tumbo baadaye alianguka, madaktari walifika katika eneo hilo na baada ya kumfikisha Labour alijifungua.
Watu wengi wameshindwa kuelewa kwa jinsi gani ameweza kupata ujauzito licha ya kula kiapo cha usafi wa moyo na utii.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wao sio malaika!!! ni binadamu nao wengone wana madhaifu yao!!!

    ReplyDelete
  2. Hutokea mara nyingi,ila namlaumu kwani baada ya kuona ameingia dhambini na kupata ujauzito angejitoa mapema kwa kutubu na pengine kuolewa na huyo mwenzi wake.
    Wengi tu wa namna hiyo mbona.

    ReplyDelete
  3. Ndio agejitoa tu

    ReplyDelete

Top Post Ad