Tid Ammwagia Sifa House Girl wake Mtandaoni, Aweka Picha Akiwa Kifua wazi na House Girl Ndani ya Khanga Moko

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii wa kizazi kipya Top In Dar aka tid ame post kwenye page yake ya instagram picha ambayo imezua maswali mengi kwa mashabiki zake kutokana alichoandika kwamba;
"i'm here with my house girl......anajitahidi as long as my place is clean"
Aliandika t.i.d ikifatiwa na picha aliyopiga.Picha hiyo amepiga akionekana yupo na mwana dada huyo ambae yeye anadai ndio house girl.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kapotea sana asomeki siku hizi anataka kurudi tena kwa style hiyo duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh

    ReplyDelete
  2. Wahusika wafuatile umri wa huyo binti Ikigundulika Ni chini ya 18 chukua huyu stupid lock him in the cage through the key away thx

    ReplyDelete
  3. this is insulting huyo si shekha wanawake wa mjini wanapenda umaarufu wa kisenge

    ReplyDelete
  4. uyo ni shekha wa arusha afu inasemekana kaungua

    ReplyDelete
  5. JAMANI ANATAFUTA KIKI AMEPOTEA SANA!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad